Featured Posts

Thursday, May 07, 2009

HATIMAYE ZUMA ANAINGIA IKULU SAUZI

PENGINE KUNA CHA ZIADA KINACHONIFANYA NISIAMINI MACHO YANGU KUONA JACOB ZUMA NDIO HIVYOOO ANAELEKEA KUKABIDHIWA URAIS WA AFRIKA KUSINI.NCHI ZA MAGHARIBI ZINAFUATILIA KWA KARIBU YANAYOENDELEA HUKO SAUZI,LAKINI HOFU YA WENGI NI KUWA HUENDA ZUMA NI POPULIST FLANI AMBAYE AMEFANIKIWA SANA KUKONGA NYOYO ZA WENGI NCHINI HUMO LAKINI ANAYEWEZA PIA KULIINGIZA TAIFA HILO TAJIRI MATATIZONI.BINAFSI HUWA SINA IMANI YA KUTOSHA NA WANASIASA WANAOSHINDWA KUONYESHA UDILIFU KWENYE NDOA ZAO KISHA UWATARAJIE WAWE WAADILIFU KWA TAIFA.INAELEKEA WASAUZI WAMELIPUUZA HILO.

2 comments:

SIMON KITURURU said...

Mie yangu macho tu!Huyu jamaa kaahidi mpaka basi , sasa tusubiri akianza kushindwa kutimiza atachukua hatua gani!

Ila jamaa wanakuambia ndiye Mwanasiasa Afrika ambaye hauwezi kuchoka hotuba zake.

Hakawii kukata hotuba akawaimbieni na kucheza muziki unaoingizwa katikati ya hotuba, halafu akarudisha hotuba kuhusu kutetea yeye anafuata mila za Kiafrika ndio maana anawake wengi na inabidi atesti nje kidogo ilikujua Kimwana gani mwingine anafaa kuoa.


Ila jamaa namsifu kwa kujifunza mwenyewe kusoma mpaka kuchezea akili za waliosoma a.k.a wasomi.
Kazi ipo!

EVARIST said...

Si utani ndugu yangu.Uongozi Afrika ni vituko juu ya vituko

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India