Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
I dont hate but this girl kwanza awe real,aache kutumia mkorogo na basi akiendelea kutuia mkorogo atumie ule wa akili manake sura rangi ingine,kipepsi rtangi ingine,miguu rangi ingine,inshort hapendezi.Pili she tryn to be Sporah which hamfikii..dada go get veeon kwnza kwaajili ya rangi yako then uanze kuhangaika na screen.
Jestina relax ukiwa in front of the camera, sio kitu rahisi ila jaribu kurelax, you sound very nervous mpaka yaani kama mtazamaji nahisi kama utafikia sehemu utaacha kuongea.
Pia kuweni na "pointers" either kwenye karatasi or kitu fulani, sidhani kama itakuwa vibaya kuwa na cards fulani yaani unaweka kama notes ndogo ndogo tu ili ujue unaongea nini kwasababu unarudia rudia maneno kila wakati...na hakuna "cut"? maana naona mkikosea bado inasukumwa humo humo...kipindi bado kichanga ila kukosolewa sio mbaya pia
Asanteni kwa maoni yenu tutayafanyia kazi.
I dont hate but this girl kwanza awe real,aache kutumia mkorogo na basi akiendelea kutuia mkorogo atumie ule wa akili manake sura rangi ingine,kipepsi rtangi ingine,miguu rangi ingine,inshort hapendezi.Pili she tryn to be Sporah which hamfikii..dada go get veeon kwnza kwaajili ya rangi yako then uanze kuhangaika na screen.
ReplyDeleteJestina relax ukiwa in front of the camera, sio kitu rahisi ila jaribu kurelax, you sound very nervous mpaka yaani kama mtazamaji nahisi kama utafikia sehemu utaacha kuongea.
ReplyDeletePia kuweni na "pointers" either kwenye karatasi or kitu fulani, sidhani kama itakuwa vibaya kuwa na cards fulani yaani unaweka kama notes ndogo ndogo tu ili ujue unaongea nini kwasababu unarudia rudia maneno kila wakati...na hakuna "cut"? maana naona mkikosea bado inasukumwa humo humo...kipindi bado kichanga ila kukosolewa sio mbaya pia
Asanteni kwa maoni yenu tutayafanyia kazi.
ReplyDelete