Ama kweli kufa kufaana!
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
yaani hiyo ni zaidi kufa kufaana.....hapo T.I.D ameshinda lottery...na pengine ndicho alichokuwa anatafuta kupata publicity...inakukumbusha enzi za Makumbi Juma-homa ya jiji akiwa na yanga baada ya mechi na kiboko ya vigogo- Reli ya Morogoro enzi hizo!!!!!! walikuwa wakijimwaga kwenye dansi Morogoro Hotel maarufu kwa jina la shimoni....basi miongoni wailiudhurulia alikuwa ni kundi moja na mimi usiku ule...hivyo ili atuonyeshe kwamba amepata nafasi kuwa karibu na super star wa soka...homa ya jiji bila kujua alikuwa amemkanyaga mguu huyu rafiki yetu...na yeye rafiki yetu alitulia kimya huku akiaangaza macho kwetu ili huku akituonyesha kwamba amekanyagwa mguu na Makumbi Juma-Homa ya jiji. Na yeye rafiki kusema amefarijika sana kuapta hiyo fursa angalau kukanyagwa mguu.....
Unfortunately for Thabit (Americanized as 'Thabeet') his fame doesn't go with class.
T.I.D might be in a wrong but that is not justification of any kind for Thabit,an NBA player to hit him like he did, unless, I should insist 'UNLESS', for self-defence, something didn't appear to be so!
How many times we have heard him (Thabit) 'misbehaving' badly in KADAMNASI? I don't have time but if I would, I could!
Mbona nasikia kuwa TID ameutafuta ugomvi huu makusudi. Ila sidhani kama hii itamnufasha TID in any monetary terms apart from being known Terribly Infectious Desease(TID) of Africa probably people will think HIV
yaani hiyo ni zaidi kufa kufaana.....hapo T.I.D ameshinda lottery...na pengine ndicho alichokuwa anatafuta kupata publicity...inakukumbusha enzi za Makumbi Juma-homa ya jiji akiwa na yanga baada ya mechi na kiboko ya vigogo- Reli ya Morogoro enzi hizo!!!!!! walikuwa wakijimwaga kwenye dansi Morogoro Hotel maarufu kwa jina la shimoni....basi miongoni wailiudhurulia alikuwa ni kundi moja na mimi usiku ule...hivyo ili atuonyeshe kwamba amepata nafasi kuwa karibu na super star wa soka...homa ya jiji bila kujua alikuwa amemkanyaga mguu huyu rafiki yetu...na yeye rafiki yetu alitulia kimya huku akiaangaza macho kwetu ili huku akituonyesha kwamba amekanyagwa mguu na Makumbi Juma-Homa ya jiji. Na yeye rafiki kusema amefarijika sana kuapta hiyo fursa angalau kukanyagwa mguu.....
ReplyDeleteUnfortunately for Thabit (Americanized as 'Thabeet') his fame doesn't go with class.
ReplyDeleteT.I.D might be in a wrong but that is not justification of any kind for Thabit,an NBA player to hit him like he did, unless, I should insist 'UNLESS', for self-defence, something didn't appear to be so!

ReplyDelete