Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Hehehehe imekuwa kama Bush na kauli yake ya "Africa as a whole nation" toooooba! Africans and NON-Africans wakaruka futi 100 kidogo hehe anyway back to Kikwete, mmmh, is he serious? I hope not. Sasa hata kama hizo hotuba anazoandaliwa at least check it kwasababu inaweza kutafsiriwa kama "indirect insult" kwa wale wanafunzi wanaopata mimba na waathirika wa Ukimwi. Not really a statement you would expect from the president, he needs to be careful and more understanding because he sounds a little tiny bit obnoxious at the moment...really
Hapo Dr Chahali jiulize,Je vipi kuhusu watoto wanaozaliwa na wakiwa na ukimwi nao wamjitakia wenyewe JK!!!?. Kifupi Tatizo siyo hotuba zake, isipokuwa ni uwezo na maarifa yake yeye JK binafsi katika uongozi. Kimsingi hata hiyo timu ya watayarisha hotuba inatokana na chagua lake yeye. Kwa sababu ya uwezo na maarifa yake JK ya kiwango cha chini kama anavyoonyesha kwenye hotuba zake hata serikali yake kwa ujumla. Namalizia kuona kwamba cheo alichokuwa nacho ni kikubwa kuliko uwezo na maarifa aliyokuwa nayo yeye.
Kaka Chahali, pengine hayo yanatokea Tz pekee ama ni afrika nzima :-(
kwamba hajui kwa nini tunakuwa masikini si yeye wa kwanza kusema. Mkapa alisema na Sumaye baada ya kutoka Harvard akadai sasa anajua kwa nini tuko masikini.
Maana yake ni kuwa tunaongozwa na viongozi ambao hawajui kwa nini wanataka uongozi ama kwa nini wanataka kutuongoza. Kwa maana nyingine, tunaongozwa na viongozi ambao wako kwa maslahi ya wenyewe na si ya watanzania.
Na pengine ndo thamani yetu sisi watanzania kwa kuwa kiongozi anaonesha taswira ya jamii ilivyo. Kama ni mbaya basi wale walomuweka madarakani ni wabaya kuliko wao, ama? :-(
Sasa hao wanaomchagua ni kweli tatizo...Je tufanye nini sasa Bwana Chacha!?
Hayo ndiyo matatizo ya kumpa uongozi wa nchi mtu asiye na Elimu ya kutosha wala upeo wa Uongozi bora. Rais mwenyewe hiyo ndiyo tabia yake kuokota okota mabinti kwa hiyo usitegemee awatetee kwani kwake kufanya hivyo itakuwa ni kutetea tabia yake mbaya.
Tanzania inahitaji kiongozi msomi na mwenye upendo na taifa lake na aliye tayari hata kupoteza maisha yake kwa ajili ya taifa ambalo kila kukicha linazidi kudidimizwa na mafisadi wakiongozwa na JK mwenyewe. Kama JK siyo fisadi mkubwa kwa nini aseme ana orodha ya mafisadi na aendelee kutembea nayo. Chama cha Mafisadi (CCM) kisipong'olewa taifa litazaidi kuangamia mpata tutakuwa kama majirani zetu, ambapo taifa litaishia KUMWAGA DAMU.
Hehehehe imekuwa kama Bush na kauli yake ya "Africa as a whole nation" toooooba! Africans and NON-Africans wakaruka futi 100 kidogo hehe anyway back to Kikwete, mmmh, is he serious? I hope not. Sasa hata kama hizo hotuba anazoandaliwa at least check it kwasababu inaweza kutafsiriwa kama "indirect insult" kwa wale wanafunzi wanaopata mimba na waathirika wa Ukimwi. Not really a statement you would expect from the president, he needs to be careful and more understanding because he sounds a little tiny bit obnoxious at the moment...really
ReplyDeleteHapo Dr Chahali jiulize,Je vipi kuhusu watoto wanaozaliwa na wakiwa na ukimwi nao wamjitakia wenyewe JK!!!?. Kifupi Tatizo siyo hotuba zake, isipokuwa ni uwezo na maarifa yake yeye JK binafsi katika uongozi. Kimsingi hata hiyo timu ya watayarisha hotuba inatokana na chagua lake yeye. Kwa sababu ya uwezo na maarifa yake JK ya kiwango cha chini kama anavyoonyesha kwenye hotuba zake hata serikali yake kwa ujumla. Namalizia kuona kwamba cheo alichokuwa nacho ni kikubwa kuliko uwezo na maarifa aliyokuwa nayo yeye.
ReplyDeleteKaka Chahali, pengine hayo yanatokea Tz pekee ama ni afrika nzima :-(
ReplyDeletekwamba hajui kwa nini tunakuwa masikini si yeye wa kwanza kusema. Mkapa alisema na Sumaye baada ya kutoka Harvard akadai sasa anajua kwa nini tuko masikini.
Maana yake ni kuwa tunaongozwa na viongozi ambao hawajui kwa nini wanataka uongozi ama kwa nini wanataka kutuongoza. Kwa maana nyingine, tunaongozwa na viongozi ambao wako kwa maslahi ya wenyewe na si ya watanzania.
Na pengine ndo thamani yetu sisi watanzania kwa kuwa kiongozi anaonesha taswira ya jamii ilivyo. Kama ni mbaya basi wale walomuweka madarakani ni wabaya kuliko wao, ama? :-(
Sasa hao wanaomchagua ni kweli tatizo...Je tufanye nini sasa Bwana Chacha!?
ReplyDeleteHayo ndiyo matatizo ya kumpa uongozi wa nchi mtu asiye na Elimu ya kutosha wala upeo wa Uongozi bora. Rais mwenyewe hiyo ndiyo tabia yake kuokota okota mabinti kwa hiyo usitegemee awatetee kwani kwake kufanya hivyo itakuwa ni kutetea tabia yake mbaya.
ReplyDeleteTanzania inahitaji kiongozi msomi na mwenye upendo na taifa lake na aliye tayari hata kupoteza maisha yake kwa ajili ya taifa ambalo kila kukicha linazidi kudidimizwa na mafisadi wakiongozwa na JK mwenyewe. Kama JK siyo fisadi mkubwa kwa nini aseme ana orodha ya mafisadi na aendelee kutembea nayo. Chama cha Mafisadi (CCM) kisipong'olewa taifa litazaidi kuangamia mpata tutakuwa kama majirani zetu, ambapo taifa litaishia KUMWAGA DAMU.