Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Huyu ni mtumwa wa kujitakia hataka kama ana PhD. Kuna wakati mwingine usomi hauondoi upumbavu wa mtu. Kuna haja ya kuanza kuhoji uwezo wake wa kufikiri isiwe ni yale makasuku yaliyokariri tu. Hata kama ni usanii ni wa kipumbavu. Hamkumuona bwana mazingaombwe mkuu akikaa kwenye mavumbi jambo ambalo wajinga wengi eti wameshangaa wakati alitoka huko huko? Kujidhalilisha hivi ni ushahidi wa CCM kuishiwa kila wizara hadi wakatumia mbinu mfu na chafu. Kazi ni kwa wapiga kura wapumbavu ambao kila kitu kimewekwa mbele machoni mwao kumpa kura ili awale.
Was he also begging to earn his PhD in the same manner and fashion? I would not have dared to do the same!
Hiyo maana yake kwamba huyu bwnaa yeye anavyeti alivyofuzu kiwango cha PHD lakini hana maarifa binafsi kuendeleza upeo wake wa kufikiria, kimsingi ni kwamba hatufai, na hatuhuitaji wasomi wa namna na hii...
Nilidhani ukisoma unajihamini lkn kumbe ni kinyume ukiingia kwenye siasa, Maisha gani hayo ya kuomba kura huku umepiga magoti.
Na kama ni unyenyekevu basi aendelee hivyo hivyo akishinda bunge.
Huyu ni mtumwa wa kujitakia hataka kama ana PhD. Kuna wakati mwingine usomi hauondoi upumbavu wa mtu. Kuna haja ya kuanza kuhoji uwezo wake wa kufikiri isiwe ni yale makasuku yaliyokariri tu. Hata kama ni usanii ni wa kipumbavu. Hamkumuona bwana mazingaombwe mkuu akikaa kwenye mavumbi jambo ambalo wajinga wengi eti wameshangaa wakati alitoka huko huko? Kujidhalilisha hivi ni ushahidi wa CCM kuishiwa kila wizara hadi wakatumia mbinu mfu na chafu. Kazi ni kwa wapiga kura wapumbavu ambao kila kitu kimewekwa mbele machoni mwao kumpa kura ili awale.
ReplyDeleteWas he also begging to earn his PhD in the same manner and fashion? I would not have dared to do the same!
ReplyDeleteHiyo maana yake kwamba huyu bwnaa yeye anavyeti alivyofuzu kiwango cha PHD lakini hana maarifa binafsi kuendeleza upeo wake wa kufikiria, kimsingi ni kwamba hatufai, na hatuhuitaji wasomi wa namna na hii...
ReplyDeleteNilidhani ukisoma unajihamini lkn kumbe ni kinyume ukiingia kwenye siasa, Maisha gani hayo ya kuomba kura huku umepiga magoti.
ReplyDeleteNa kama ni unyenyekevu basi aendelee hivyo hivyo akishinda bunge.