Video zote kwa hisani ya Coby
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Huu ni udikta! sioni lojiki ya kwenda kukimbilia kwa wazee,raisi angetoa hii hotuba pale Nkurumah hall,hapo tungemwona rais wa maana.
Chahali kampeni zako babu kubwa. yaani unataka kutudanganya tukuamini kabisa ati ulimwaga chozi kwa kuangalia video ya jeuri ya JK kwa wafanyakazi..wachekesha kweli...wafanyakazi walitafakari baina ya akili ya kuambiwa na akili yao wakaona ni upuuzi kumuendekeza Mgaya na kundi lake.
Tupo Gado tunachapa kazi na labda nikupe habari za kuvunja habari (Breaking News) mwezi oktoba haumaliziki, tunalipwa malimbikizo ya nyongeza na mwisho wa mwezi tunalipwa mishahara mipya...hapo tunaongeza uwezo wa kukopesheka na kuwekeza katika vitega uchumi vidogo vidogo, wewe utabaki na SLAA wako tu....labda mwaka 1995 ulikuwa bado u mtoto hukuona yaliyojiri...Wafanyakazi TUNASEMAA HATUDANGANYIKIIIIIIIIII.......kura YANGU NA za Wafanyakazi wengi tu zinaenda CCM hususan kwa JK.....pole kwa kuoata mchana
RAIZER WEWE SIO MZALENDO HATA KIDOGO . KWANZA NAFIKIRI WEWE NI MAMRUKI NDANI YA CCM YAKO , UNAOFIKIRI NI WENGI SIO KWELI WAFANYAKAZI WENGI HATUKO HUKO ULIKO WEWE . KWANI CHA MLEVI HULIWA TU , NA FADHILA ISIWEPO . KUONGEZA MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI NI RUSHWA AMBAYO TUMEIBAINI WENYE AKILI TIMAMU . ENDELEA KUDANGANYIKA , WENZIO MPAKA KIELEWEKE .
Huu ni udikta! sioni lojiki ya kwenda kukimbilia kwa wazee,raisi angetoa hii hotuba pale Nkurumah hall,hapo tungemwona rais wa maana.
ReplyDeleteChahali kampeni zako babu kubwa. yaani unataka kutudanganya tukuamini kabisa ati ulimwaga chozi kwa kuangalia video ya jeuri ya JK kwa wafanyakazi..wachekesha kweli...wafanyakazi walitafakari baina ya akili ya kuambiwa na akili yao wakaona ni upuuzi kumuendekeza Mgaya na kundi lake.
ReplyDeleteTupo Gado tunachapa kazi na labda nikupe habari za kuvunja habari (Breaking News) mwezi oktoba haumaliziki, tunalipwa malimbikizo ya nyongeza na mwisho wa mwezi tunalipwa mishahara mipya...hapo tunaongeza uwezo wa kukopesheka na kuwekeza katika vitega uchumi vidogo vidogo, wewe utabaki na SLAA wako tu....labda mwaka 1995 ulikuwa bado u mtoto hukuona yaliyojiri...Wafanyakazi TUNASEMAA HATUDANGANYIKIIIIIIIIII.......kura YANGU NA za Wafanyakazi wengi tu zinaenda CCM hususan kwa JK.....pole kwa kuoata mchana

ReplyDelete