Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Well said. Pamoja nakwamba sijasomea field ya sheria, naamini wakati wote Hakimu au Jaji anapotoa hukumu: pamoja nakuhakikisha hapingani na sheria, lakini pia adhabu yake inakusudia kutoa fundisho kwa mtuhumiwa na wengine ili tukio kama hilo lisitokee tena au watu wajifikirie kabla yakutenda. I wonder wakati ajali inatokea Chenge alikua sober au vipi? Je polisi walipima level ya alcohol that night? Kwa mazingira yanavyoonyesha the whole process ilitengenezwa toka mwanzoni. Ivi kweli mtu anayemiliki bajaji anaweza akakimbia asionekane? Yaani gari imeumia vibaya vile alafu dereva wa bajaji amepona nakuweza kukimbia? Kwani mmiliki halali wa bajaji ni nani? Ameshindwa kusaidia polisi ili dereva wake apatikane? Yaani hii inaonyesha the whole process hadi hapa tulipofika ni maigizo. Kuna mtu wakaribu na Chenge alisema Chenge alikwenda mahakamani akijua kabisha how much he is going to pay!!!Lakini kwani tulitegemea jipya kweli kwenye serikali yenye uozo namna hii? Na jaji Ramadhani amegeuka kuwa kichekesho namuomba tu asiongee maana it is better for him to remain quite amasivyo tutafufua uozo aliouangalia na kufanya alipokua kwenye nafasi yake.Ninakusanya data zakutosha kuonyesha ni jinsi gani vyeti/leseni za ku-practice uwakili zilivyotolewa kwa watu fulani fulani bila wao kutimiza masharti (kufanya mtihani etc) huku Jaji Ramadhani akiwa analitambua nakuliangalia hilo. Kwakweli naamini kabisa huyu jaji mkuu mpya amewekwa kwa maslahi fulani. Inawezekana sio udini bali nikulinda maslahi ya watu fulani hivi. Hivi kweli kuanzia J1 mpaka J10 hakuna aliyekua anafaa mpaka tukachagua J11? Yaani hao wote walikua promoted kimakosa kwenye nafasi zao? Mbaya zaidi mtu ambaye ana-less experience na court system ya Tanzania tunamkabidhi majukumu makubwa wakati nchi ikokwenye mgawanyiko mkubwa hasa kwenye mambo ya katiba na mikataba mibovu? Nimejaribu kutafuta any controversial cases alioisikiliza sijapata naona alikua anatoa ushauri tu kwenye level yakimataifa. Au na yeye atahitaji few years zaku-learn usanii wa bongo then ndio aanze kazi? Nachukia ku-prejudge vitu lakini nahisi hali ya hewa sio nzuri kwa miaka inayokuja jinsi mambo yanavyokwenda.Naona drama imeshaanza kwa mwanasheria wa Serikali na Dowans. MORE IS TO COME MY FRIENDS!
JK hawezi kukupatia cheo iwapo wewe siyo fisadi au kuwa kimya kupinga lolote analoagiza....haya madudu yote kiuongozi na utawala lazima yanakuwa na chanzo chake na bila shaka ni yeye JK ndiyo yupo nyuma ya yote haya mafinyufinyu
Hapa fundisho lipo na ni kwamba kama una pesa basi wewe unaweza kuharibu unavyotaka. Kwa tabia ya Tanzania hili ukisoma ripoti ya judge warioba kuhusu corruption utakubaliana na mimi, huyu mhalifu(mfungwa aliyehuru) atakuwa amelipa pesa nyingine nyingi ili kutengenezewa adhabu hii.
Sasa wale wasomi wa sheria, hivi hawa wafiwa hawawezi kufungua kesi ya madai, kama familia ya mke wa O.J Simpson? na wakalipwa pesa kwani nilishawahi kusoma kuwa hawa wadada walikuwa na majukumu kwenye familia zao.
Well said. Pamoja nakwamba sijasomea field ya sheria, naamini wakati wote Hakimu au Jaji anapotoa hukumu: pamoja nakuhakikisha hapingani na sheria, lakini pia adhabu yake inakusudia kutoa fundisho kwa mtuhumiwa na wengine ili tukio kama hilo lisitokee tena au watu wajifikirie kabla yakutenda. I wonder wakati ajali inatokea Chenge alikua sober au vipi? Je polisi walipima level ya alcohol that night? Kwa mazingira yanavyoonyesha the whole process ilitengenezwa toka mwanzoni. Ivi kweli mtu anayemiliki bajaji anaweza akakimbia asionekane? Yaani gari imeumia vibaya vile alafu dereva wa bajaji amepona nakuweza kukimbia? Kwani mmiliki halali wa bajaji ni nani? Ameshindwa kusaidia polisi ili dereva wake apatikane? Yaani hii inaonyesha the whole process hadi hapa tulipofika ni maigizo. Kuna mtu wakaribu na Chenge alisema Chenge alikwenda mahakamani akijua kabisha how much he is going to pay!!!Lakini kwani tulitegemea jipya kweli kwenye serikali yenye uozo namna hii? Na jaji Ramadhani amegeuka kuwa kichekesho namuomba tu asiongee maana it is better for him to remain quite amasivyo tutafufua uozo aliouangalia na kufanya alipokua kwenye nafasi yake.Ninakusanya data zakutosha kuonyesha ni jinsi gani vyeti/leseni za ku-practice uwakili zilivyotolewa kwa watu fulani fulani bila wao kutimiza masharti (kufanya mtihani etc) huku Jaji Ramadhani akiwa analitambua nakuliangalia hilo. Kwakweli naamini kabisa huyu jaji mkuu mpya amewekwa kwa maslahi fulani. Inawezekana sio udini bali nikulinda maslahi ya watu fulani hivi. Hivi kweli kuanzia J1 mpaka J10 hakuna aliyekua anafaa mpaka tukachagua J11? Yaani hao wote walikua promoted kimakosa kwenye nafasi zao? Mbaya zaidi mtu ambaye ana-less experience na court system ya Tanzania tunamkabidhi majukumu makubwa wakati nchi ikokwenye mgawanyiko mkubwa hasa kwenye mambo ya katiba na mikataba mibovu? Nimejaribu kutafuta any controversial cases alioisikiliza sijapata naona alikua anatoa ushauri tu kwenye level yakimataifa. Au na yeye atahitaji few years zaku-learn usanii wa bongo then ndio aanze kazi? Nachukia ku-prejudge vitu lakini nahisi hali ya hewa sio nzuri kwa miaka inayokuja jinsi mambo yanavyokwenda.Naona drama imeshaanza kwa mwanasheria wa Serikali na Dowans. MORE IS TO COME MY FRIENDS!
ReplyDeleteJK hawezi kukupatia cheo iwapo wewe siyo fisadi au kuwa kimya kupinga lolote analoagiza....haya madudu yote kiuongozi na utawala lazima yanakuwa na chanzo chake na bila shaka ni yeye JK ndiyo yupo nyuma ya yote haya mafinyufinyu
ReplyDeleteHapa fundisho lipo na ni kwamba kama una pesa basi wewe unaweza kuharibu unavyotaka. Kwa tabia ya Tanzania hili ukisoma ripoti ya judge warioba kuhusu corruption utakubaliana na mimi, huyu mhalifu(mfungwa aliyehuru) atakuwa amelipa pesa nyingine nyingi ili kutengenezewa adhabu hii.
ReplyDeleteSasa wale wasomi wa sheria, hivi hawa wafiwa hawawezi kufungua kesi ya madai, kama familia ya mke wa O.J Simpson? na wakalipwa pesa kwani nilishawahi kusoma kuwa hawa wadada walikuwa na majukumu kwenye familia zao.