Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
hahah! Ati Mister Misifa..i still think hiki kitabu kingetoka after he finished his 2nd term
I think this is the weakest president so far in the history of Tanzania. That being said it may be necessary for "wapambe" to find all the necessary things that will make him look credible and raise his ability" The only way to do so is to give him all the free "PHD honors" without sweating for it, write a book about him etc. Labda tu tuwe wakweli: kiongozi gani ambaye anapenda knowledge/education, mwenye vision etc atakubali kupewa free honors na akatembea kifua mbele when people call him/her Doctor? Kuna waliopewa all kinds of honors lakini wamekataa kuitwa Doctor. I think it is OK to receive those honors, lakini haibadilishi jina/initial yako simply because elimu au uelewa wako bado upo palepale, hauwezi ku-improve baada yakutunikiwa shahada hiyo. That means JK Kikwete bado ni kiongozi mwenye low IQ we have ever had, weak (in-terms ya uelewa wake)/asieona mbali (no vision), and incompetent. In short he is just a ceremonial leader to most of Tanzanians. He brings nothing to the table apart from a smile.He simply does not know what critical thinking and competency is all about! Sad enough he seems to have lost touch with reality.
izo message unacomment mwenyewe pple see u az a fool kuwa unampondea vbaya baba wa watu ata kama unamchukia bt si kumuandika kama ivyo mr misifa n ol others we sijui ukoje bt waonekana wa ajabu we mkaka stp being a fool
Sasa ndugu yangu,kwani hatuwezi kutofautiana mitizamo pasipo kutumia matusi?Binafsi siafikiani nawe kuniita fool lakini kutoafikiana nawe hakuhalalishi nami nikuite stupid.Why?Because you're simply exercising your constitutional rights to express yourself.Ndio freedom of speech hiyo.Sasa kama ni ruksa kwako kutumia haki yako ya kikatiba kutoa mawazo yako,how come iwe foolishness kwangu kufanya hivyohivyo?
Na unaposema naandika comment mie mwenyewe,mbona hujiulizi kipi kilikusukuma mpaka ukaja hapa kutoa comments?Je kwa busara zako hudhani kuwa kuna watu wengine kama wewe wanaoweza kufanya kama ulichofanya (kuja hapa bloguni) na kuunga mkono (au kupinga kama wewe)?
Pamoja na lugha zako zisizo za kistaarabu,naomba kukushukuru kwa kufika hapa na kutoa mchango wako wa mawazo.Karibu tena
Chahali hafanyi kosa lolote.This is part of his service to the country he loves. Muda wakusifiana uongo umekwisha. Wewe unayesema "anampondea baba wa watu" niambie kama kila mtanzania ana maisha bora. Niambie kama wingi wa magari Dar unaonyesha wenzetu wa Mbeya, Makambako, Dodoma, Mbagala etc wanamaisha bora. Niambie kama mtu mwenye akili zake anaweza kutoa misaada ya vibabaji kwaajili yakubeba wamama wajawazito ili wawahi hospitali. Jamani it is a no brainer. Please acha kutetea vitu ambavyo havina maana this is 21st century, tunataka kuona vitendo sio kucheza ngoma tu na pilau. We have to put in place short and long-term strategies that can be implemented successfully and achieved, and if not achieved we have to find out why (evaluate) and take it from there.Please jaribu kufikiri kabla yakutoa maoni. Unapoutaka uongozi kubali kuwa critically challenged, kiongozi ni mtumishi wa wananchi na sio uwe mzigo kwa wananchi wako. Watanzania tuache tabia za utumwa, kuabudiana hakuna tija.Tunaelewa wazi tatizo la umaskini nchini kwetu sio resources bali ni Leadership lakini bado tunakumbatia uozo.
For the record My name is Sis N but I chose to be Anonymos and I am the one who posted the first comment. So no need to insult other peoples intelligence kwamba wanapost wenyewe. By the way watu wenye upeo mdogo sana ndio wanaweza ku-post message zao wenyewe. I like this blog, to me it the best blog simply because you can challenge other peoples ideas without using profanities.
hey tanzanian people achane kulalamika kwenye ma-blog,suluhu kama umeonewa si muandamane?mnalalamika kwenye blog nani anaejali?
Kwenye uzinduzi wa tabu hili mtungaji alikiri kuwa huu ni mradi. Kumbe ni mradi! Nitashangaa kitabu hiki kisipotoa majibu ya uhusika wa Kikwete kwenye EPA na Richmond kama ilivyodaiwa na asikanushe. Hata hivyo, uzoefu unanipa kuwa yataongelewa 'mazuri' ya Kikwete tu huku mabaya na mapungufu yake na utawala wake yakinyimwa fursa. Tuliona haya kwenye kitabu cha maisha ya mwizi na imla wa zamani wa Kenya Daniel arap Moi.
Kama ni mradi mwandishi amekuwa mkweli ingawa uteuzi wake wa mradi unatia shaka baina ya maslahi binafsi na ya taifa. Kwanini Kikwete na si kuandika vitabu dhidi ya ufisadi, ubabaishaji, kujuana na jinai nyingine ambazo zimetamalaki?
Je usomi wa namna hii unaojifungia kwenye watu maarufu huku ukiwapuuzia makapuku una faida kwa jamii inayowatengeneza wasomi hawa? Ukisikia mwisho wa usomi ndiyo huu. Prince Bagenda aliandika kitabu cha uongo mtupu akidhania angepewa ubalozi akaambulia kujidhalilisha. Hata huyu Nyang'oro amejizika kitaaluma na kujiumbua alivyo mbabaishaji anayeweza kutumiwa na kila fisadi. Kama ndicho kitabu chake pekee basi ajihesabu mtunzi bali mwimbaji wa sifa za mafisadi.
Chahali, hawa wanaokutukana usiwajibu kwa vile walishajiishia. Wao hawana tofauti na kapu ambalo hubeba kila balaa liwekwamo ndanimwe.
Kikwete angekuwa kama wanavyotaka aonekane angetunga lau kitabu kimoja ili umma ujue uoni wake. Lakini kwa vile hana guts atabaki kutungiwa kama maiti na matapeli wanaotaka kuwa karibu naye ili wapate makombo ya ufisadi.
Huyo jamaa naona ameamua kutunga kitabu kwa nia ya kujipendekeza. Hata hivyo mhariri wa kitabu hicho alimkosoa siku ya uzinduzi na kumwambia ameegemea kwenye upande mmoja zaidi wa kiurafiki badala ya kuangalia changamoto zilizopo. Huo nduo uandishi wa "Kikasuku"
@Anony wa kwanza: nashindwa kukuelewa kabisa kwa kuwa wewe unatupeleka kwenye kumjadili JK a.k.a mbayuwayu kama mtu binafsi wakati hoja ilotolewa na mtoaji ni juu ya ISSUES around taasisi anayoiongoza:URAIS!
Hapo ndo tunashindwa kuwa waelewa na tunapojadili issues na mwingine anatupeleka kusiko inakuwa haipendezi.
Kiukweli ukweli unauma...ndo sababu unaropoka na kulaumu!
Sasa haya machafufu na madudu yote ANAYOFANYA NA SERIKALI YAKE NINI CHA KUSIFIA..!!!!!!Certainly,We got right strongly to highlit all dirtiness issues going on this shame regime
Huyu mtunzi wa hiki kitabu anajikomba na kujipendekeza..hakuna mazuri yoyote ambayo amefanya ktk nchi yetu hu prezident! Halafu watu wamempa tena kipindi kingine "cha kula". Shame upon him! najua hasomi blogs lakini message zitamfikia anyway!
hahah! Ati Mister Misifa..i still think hiki kitabu kingetoka after he finished his 2nd term
ReplyDeleteI think this is the weakest president so far in the history of Tanzania. That being said it may be necessary for "wapambe" to find all the necessary things that will make him look credible and raise his ability" The only way to do so is to give him all the free "PHD honors" without sweating for it, write a book about him etc. Labda tu tuwe wakweli: kiongozi gani ambaye anapenda knowledge/education, mwenye vision etc atakubali kupewa free honors na akatembea kifua mbele when people call him/her Doctor? Kuna waliopewa all kinds of honors lakini wamekataa kuitwa Doctor. I think it is OK to receive those honors, lakini haibadilishi jina/initial yako simply because elimu au uelewa wako bado upo palepale, hauwezi ku-improve baada yakutunikiwa shahada hiyo. That means JK Kikwete bado ni kiongozi mwenye low IQ we have ever had, weak (in-terms ya uelewa wake)/asieona mbali (no vision), and incompetent. In short he is just a ceremonial leader to most of Tanzanians. He brings nothing to the table apart from a smile.He simply does not know what critical thinking and competency is all about! Sad enough he seems to have lost touch with reality.
ReplyDeleteizo message unacomment mwenyewe pple see u az a fool kuwa unampondea vbaya baba wa watu ata kama unamchukia bt si kumuandika kama ivyo mr misifa n ol others we sijui ukoje bt waonekana wa ajabu we mkaka stp being a fool
ReplyDeleteSasa ndugu yangu,kwani hatuwezi kutofautiana mitizamo pasipo kutumia matusi?Binafsi siafikiani nawe kuniita fool lakini kutoafikiana nawe hakuhalalishi nami nikuite stupid.Why?Because you're simply exercising your constitutional rights to express yourself.Ndio freedom of speech hiyo.Sasa kama ni ruksa kwako kutumia haki yako ya kikatiba kutoa mawazo yako,how come iwe foolishness kwangu kufanya hivyohivyo?
ReplyDeleteNa unaposema naandika comment mie mwenyewe,mbona hujiulizi kipi kilikusukuma mpaka ukaja hapa kutoa comments?Je kwa busara zako hudhani kuwa kuna watu wengine kama wewe wanaoweza kufanya kama ulichofanya (kuja hapa bloguni) na kuunga mkono (au kupinga kama wewe)?
Pamoja na lugha zako zisizo za kistaarabu,naomba kukushukuru kwa kufika hapa na kutoa mchango wako wa mawazo.Karibu tena
Chahali hafanyi kosa lolote.This is part of his service to the country he loves. Muda wakusifiana uongo umekwisha. Wewe unayesema "anampondea baba wa watu" niambie kama kila mtanzania ana maisha bora. Niambie kama wingi wa magari Dar unaonyesha wenzetu wa Mbeya, Makambako, Dodoma, Mbagala etc wanamaisha bora. Niambie kama mtu mwenye akili zake anaweza kutoa misaada ya vibabaji kwaajili yakubeba wamama wajawazito ili wawahi hospitali. Jamani it is a no brainer. Please acha kutetea vitu ambavyo havina maana this is 21st century, tunataka kuona vitendo sio kucheza ngoma tu na pilau. We have to put in place short and long-term strategies that can be implemented successfully and achieved, and if not achieved we have to find out why (evaluate) and take it from there.Please jaribu kufikiri kabla yakutoa maoni. Unapoutaka uongozi kubali kuwa critically challenged, kiongozi ni mtumishi wa wananchi na sio uwe mzigo kwa wananchi wako. Watanzania tuache tabia za utumwa, kuabudiana hakuna tija.Tunaelewa wazi tatizo la umaskini nchini kwetu sio resources bali ni Leadership lakini bado tunakumbatia uozo.
ReplyDeleteFor the record My name is Sis N but I chose to be Anonymos and I am the one who posted the first comment. So no need to insult other peoples intelligence kwamba wanapost wenyewe. By the way watu wenye upeo mdogo sana ndio wanaweza ku-post message zao wenyewe. I like this blog, to me it the best blog simply because you can challenge other peoples ideas without using profanities.
ReplyDeletehey tanzanian people achane kulalamika kwenye ma-blog,suluhu kama umeonewa si muandamane?mnalalamika kwenye blog nani anaejali?
ReplyDeleteKwenye uzinduzi wa tabu hili mtungaji alikiri kuwa huu ni mradi. Kumbe ni mradi! Nitashangaa kitabu hiki kisipotoa majibu ya uhusika wa Kikwete kwenye EPA na Richmond kama ilivyodaiwa na asikanushe. Hata hivyo, uzoefu unanipa kuwa yataongelewa 'mazuri' ya Kikwete tu huku mabaya na mapungufu yake na utawala wake yakinyimwa fursa. Tuliona haya kwenye kitabu cha maisha ya mwizi na imla wa zamani wa Kenya Daniel arap Moi.
ReplyDeleteKama ni mradi mwandishi amekuwa mkweli ingawa uteuzi wake wa mradi unatia shaka baina ya maslahi binafsi na ya taifa. Kwanini Kikwete na si kuandika vitabu dhidi ya ufisadi, ubabaishaji, kujuana na jinai nyingine ambazo zimetamalaki?
Je usomi wa namna hii unaojifungia kwenye watu maarufu huku ukiwapuuzia makapuku una faida kwa jamii inayowatengeneza wasomi hawa? Ukisikia mwisho wa usomi ndiyo huu. Prince Bagenda aliandika kitabu cha uongo mtupu akidhania angepewa ubalozi akaambulia kujidhalilisha. Hata huyu Nyang'oro amejizika kitaaluma na kujiumbua alivyo mbabaishaji anayeweza kutumiwa na kila fisadi. Kama ndicho kitabu chake pekee basi ajihesabu mtunzi bali mwimbaji wa sifa za mafisadi.
Chahali, hawa wanaokutukana usiwajibu kwa vile walishajiishia. Wao hawana tofauti na kapu ambalo hubeba kila balaa liwekwamo ndanimwe.
Kikwete angekuwa kama wanavyotaka aonekane angetunga lau kitabu kimoja ili umma ujue uoni wake. Lakini kwa vile hana guts atabaki kutungiwa kama maiti na matapeli wanaotaka kuwa karibu naye ili wapate makombo ya ufisadi.
Huyo jamaa naona ameamua kutunga kitabu kwa nia ya kujipendekeza. Hata hivyo mhariri wa kitabu hicho alimkosoa siku ya uzinduzi na kumwambia ameegemea kwenye upande mmoja zaidi wa kiurafiki badala ya kuangalia changamoto zilizopo. Huo nduo uandishi wa "Kikasuku"
ReplyDelete@Anony wa kwanza: nashindwa kukuelewa kabisa kwa kuwa wewe unatupeleka kwenye kumjadili JK a.k.a mbayuwayu kama mtu binafsi wakati hoja ilotolewa na mtoaji ni juu ya ISSUES around taasisi anayoiongoza:URAIS!
ReplyDeleteHapo ndo tunashindwa kuwa waelewa na tunapojadili issues na mwingine anatupeleka kusiko inakuwa haipendezi.
Kiukweli ukweli unauma...ndo sababu unaropoka na kulaumu!
Sasa haya machafufu na madudu yote ANAYOFANYA NA SERIKALI YAKE NINI CHA KUSIFIA..!!!!!!Certainly,We got right strongly to highlit all dirtiness issues going on this shame regime
ReplyDeleteHuyu mtunzi wa hiki kitabu anajikomba na kujipendekeza..hakuna mazuri yoyote ambayo amefanya ktk nchi yetu hu prezident! Halafu watu wamempa tena kipindi kingine "cha kula". Shame upon him! najua hasomi blogs lakini message zitamfikia anyway!
ReplyDelete