10 wauwawa kwenye ghasia mjini Arusha
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Jamani hivi kwenye CCM hamna mtu aliyebaki mwenye busara kidogo yakuokoa jahazi lisizame. Kikwete na Makamba, Rostam et al wameachiwa waendeshe chama kama family business. Mbona all these was unnecessary si wangemaliza mazungumzo kama walivyoahidi on Jan 05 au walifikiri wananchi wote ni wajinga. It is not about Chadema anymore it is about Tanzanian people. Kikwete you do not OWN THIS COUNTRY FOR HEAVEN SAKE??? Mbona inakua ngumu washauri wake au hao wazee wa CCM kumueleza hilo. Kuandamana kwa amani ni haki ya mtu sio lazima uruhusu wewe!! Kwani unachoogopa ni nini hasa kama hakuna kitu unachoficha?? kwani wakisema wewe ni fisadi kama wewe sio fisadi why do you worry??? Action zako na serikali yako zinadhihirisha kabisa kila Dr. Slaa analosema ni kweli haiwezekani u-react kama mtu ambaye ni guilty kama wewe sio guilty. Kumbuka wajanja kama Saadam Hussein, Mobutu, Moi etc wameishia kuwa hadithi tu, hakuna kisichowezekana my friend. Nanona muda wakubembelezana na hawa watu umekwisha no more soft talk ni action tu kwakwenda mbele. It is not over I assure you it is not over history will be made in Arusha soon or later.
Kiongozi kuwa na leadership skills ni muhimu sana sio watu wanajibambikizia tu uongozi.Makamba alimdhihaki Lowassa kuhusu kutatua mgogoro wa Arusha. Pamoja na madhaifu ya Lowassa, Lowassa ni mwenyeji wa Arusha na anaelewa fika strategy za kutatua mgogoro kwa watu wa eneo la pale ndio maana alisisitiza mazungumzo. Sasa mzee Makamba anataka kufanya staili za uswahilini za mipasho na kusutana hiyo Arusha haiwezi ku-work.The people there (wenyeji) use more actions than words. Watu wa Arusha huwezi ukawakandamiza wakanyamaza huo ni ukweli halisi. Just mark my words, watalipiza in one way or another. Hii haijaisha, nakumbuka migogoro ya kidini, nakumbuka migogoro wa watu wa machimboni(wana-apollo),nakumbuka migogoro ya ardhi etc unafikiri kitu kimeisha baada ya a month watu wanalipuka (lipa kisasi) na mgogoro unaanza upya. I think this is total failure in leadership. Nampongeza Luten Mstaafu Olle Molleiment kwakukemea viongozi wa CCM waziwazi kwamba wamelewa madaraka (Source- Mwananchi). Huwezi kuruhusu vyama vingi alafu ukawanyima uhuru wakujieleza au kukupa-challenge. It is impossible!JK na Makamba lazima muelewe mmeshindwa uongozi na mmezamisha jahazi. Kama kuna wana-CCM waliona mapenzi na chama they need to act quickly. JK had already failed as a president a while ago ndio maana akachukua nchi kwanguvu, sasa naona na huu uongozi wa chama umeshamshinda. I can smell something bad before 2015!
HATUONGOZWI NA MAJANGILI, WAUWAJI, WALAFI, WAKANDAMIZAJI, WABAKAJI, MAFISADI WAKUBWA! WASHAMWAGA DAMU YA WATANZANIA, WANAONGOZA VIPI NCHI? UTAMTAMBUAJE RAISI WAKO AKIWA ANA C.V ILIYOJAA DAMU! WANANCHI NDIO TUNA MAAMUZI, ATOKE HUYU JAMAA, NA WALA SI KUSUBIRI 2015
Jamani hivi kwenye CCM hamna mtu aliyebaki mwenye busara kidogo yakuokoa jahazi lisizame. Kikwete na Makamba, Rostam et al wameachiwa waendeshe chama kama family business. Mbona all these was unnecessary si wangemaliza mazungumzo kama walivyoahidi on Jan 05 au walifikiri wananchi wote ni wajinga. It is not about Chadema anymore it is about Tanzanian people. Kikwete you do not OWN THIS COUNTRY FOR HEAVEN SAKE??? Mbona inakua ngumu washauri wake au hao wazee wa CCM kumueleza hilo. Kuandamana kwa amani ni haki ya mtu sio lazima uruhusu wewe!! Kwani unachoogopa ni nini hasa kama hakuna kitu unachoficha?? kwani wakisema wewe ni fisadi kama wewe sio fisadi why do you worry??? Action zako na serikali yako zinadhihirisha kabisa kila Dr. Slaa analosema ni kweli haiwezekani u-react kama mtu ambaye ni guilty kama wewe sio guilty. Kumbuka wajanja kama Saadam Hussein, Mobutu, Moi etc wameishia kuwa hadithi tu, hakuna kisichowezekana my friend. Nanona muda wakubembelezana na hawa watu umekwisha no more soft talk ni action tu kwakwenda mbele. It is not over I assure you it is not over history will be made in Arusha soon or later.
ReplyDeleteKiongozi kuwa na leadership skills ni muhimu sana sio watu wanajibambikizia tu uongozi.Makamba alimdhihaki Lowassa kuhusu kutatua mgogoro wa Arusha. Pamoja na madhaifu ya Lowassa, Lowassa ni mwenyeji wa Arusha na anaelewa fika strategy za kutatua mgogoro kwa watu wa eneo la pale ndio maana alisisitiza mazungumzo. Sasa mzee Makamba anataka kufanya staili za uswahilini za mipasho na kusutana hiyo Arusha haiwezi ku-work.The people there (wenyeji) use more actions than words. Watu wa Arusha huwezi ukawakandamiza wakanyamaza huo ni ukweli halisi. Just mark my words, watalipiza in one way or another. Hii haijaisha, nakumbuka migogoro ya kidini, nakumbuka migogoro wa watu wa machimboni(wana-apollo),nakumbuka migogoro ya ardhi etc unafikiri kitu kimeisha baada ya a month watu wanalipuka (lipa kisasi) na mgogoro unaanza upya. I think this is total failure in leadership. Nampongeza Luten Mstaafu Olle Molleiment kwakukemea viongozi wa CCM waziwazi kwamba wamelewa madaraka (Source- Mwananchi). Huwezi kuruhusu vyama vingi alafu ukawanyima uhuru wakujieleza au kukupa-challenge. It is impossible!JK na Makamba lazima muelewe mmeshindwa uongozi na mmezamisha jahazi. Kama kuna wana-CCM waliona mapenzi na chama they need to act quickly. JK had already failed as a president a while ago ndio maana akachukua nchi kwanguvu, sasa naona na huu uongozi wa chama umeshamshinda. I can smell something bad before 2015!
ReplyDeleteHATUONGOZWI NA MAJANGILI, WAUWAJI, WALAFI, WAKANDAMIZAJI, WABAKAJI, MAFISADI WAKUBWA! WASHAMWAGA DAMU YA WATANZANIA, WANAONGOZA VIPI NCHI? UTAMTAMBUAJE RAISI WAKO AKIWA ANA C.V ILIYOJAA DAMU! WANANCHI NDIO TUNA MAAMUZI, ATOKE HUYU JAMAA, NA WALA SI KUSUBIRI 2015
ReplyDelete