Featured Posts

Thursday, January 13, 2011

Picha Zinazoweza Kumwangusha Tena Kikwete

MSIBA WA MASHUJAA WALIOUAWA KWA AMRI YA DIKTETA JAKAYA KIKWETE

 











































































SARAFINA THE FUNERAL SONG



PICHA NA VIDEO KWA HISANI KUBWA YA MTANDAO NAMBARI WANI Jamii Forums.KWA HABARI KAMILI SOMA HAPA.

4 comments:

Anonymous said...

shukurani kwa picha. inasikitisha kuacha familia wakiwa kwa mauaji kutoka vyombo vya dola, lakini pia inatia moyo kumbe watu hawajaogopa wameamka wengi kuwasindikiza hao mashujaa waliolala,Mungu ndio mtoaji faraja

Malkiory Matiya said...

Ningependa wananchi wa Arusha wamzomee siku atakapokanyaga hiyo ardhi iliyomwaga damu ya raia wasio na hatia.

Anonymous said...

CCM wasahau kabisa Arusha for many years to come. Hili jimbo halifai hata-kuchakachua maana unaweza kutolewa roho.I hope upinzani will take this opportunity kuleta maendeleo ya kweli, na ku-involve wananchi wawe part of the development process. Peoples power!!!!!

Anonymous said...

PEOPLES POWER WAZALENDO, TUSISAHAU KUONGEZA HIZI PICHA TUNAPOENDA KUONANA NA MABALOZI, MP'S N.K, UHAI HAUTOKI TU, NA UNAPOTOKA BILA HATIA, TENA KIUBABE JAMANI!? NA MAANDAMANO YOTE HAYO BILA POLISI, KUNA HATA PANYA ALIYEUWAWA HAPO?

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India