PICHA NA VIDEO KWA HISANI KUBWA YA MTANDAO NAMBARI WANI Jamii Forums.KWA HABARI KAMILI SOMA HAPA.
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
shukurani kwa picha. inasikitisha kuacha familia wakiwa kwa mauaji kutoka vyombo vya dola, lakini pia inatia moyo kumbe watu hawajaogopa wameamka wengi kuwasindikiza hao mashujaa waliolala,Mungu ndio mtoaji faraja
Ningependa wananchi wa Arusha wamzomee siku atakapokanyaga hiyo ardhi iliyomwaga damu ya raia wasio na hatia.
CCM wasahau kabisa Arusha for many years to come. Hili jimbo halifai hata-kuchakachua maana unaweza kutolewa roho.I hope upinzani will take this opportunity kuleta maendeleo ya kweli, na ku-involve wananchi wawe part of the development process. Peoples power!!!!!
PEOPLES POWER WAZALENDO, TUSISAHAU KUONGEZA HIZI PICHA TUNAPOENDA KUONANA NA MABALOZI, MP'S N.K, UHAI HAUTOKI TU, NA UNAPOTOKA BILA HATIA, TENA KIUBABE JAMANI!? NA MAANDAMANO YOTE HAYO BILA POLISI, KUNA HATA PANYA ALIYEUWAWA HAPO?
shukurani kwa picha. inasikitisha kuacha familia wakiwa kwa mauaji kutoka vyombo vya dola, lakini pia inatia moyo kumbe watu hawajaogopa wameamka wengi kuwasindikiza hao mashujaa waliolala,Mungu ndio mtoaji faraja
ReplyDeleteNingependa wananchi wa Arusha wamzomee siku atakapokanyaga hiyo ardhi iliyomwaga damu ya raia wasio na hatia.
ReplyDeleteCCM wasahau kabisa Arusha for many years to come. Hili jimbo halifai hata-kuchakachua maana unaweza kutolewa roho.I hope upinzani will take this opportunity kuleta maendeleo ya kweli, na ku-involve wananchi wawe part of the development process. Peoples power!!!!!
ReplyDeletePEOPLES POWER WAZALENDO, TUSISAHAU KUONGEZA HIZI PICHA TUNAPOENDA KUONANA NA MABALOZI, MP'S N.K, UHAI HAUTOKI TU, NA UNAPOTOKA BILA HATIA, TENA KIUBABE JAMANI!? NA MAANDAMANO YOTE HAYO BILA POLISI, KUNA HATA PANYA ALIYEUWAWA HAPO?
ReplyDelete