Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Kwa mtazamao wangu mimi nafikiri Kikwete is good at that thing of "tell people what they want to hear" Hii ni kwasababu toka alipoingia madarakani ni mtu wakusema mambo mazuri tu lakini utekelezaji zero. Sasa na hili la katiba naona amesema tu lakini hakumaanisha alilosema: ukizingatia watendaji wake wa sheria walishatoa misimamo tofauti.Kwa kifupi everything kwenye ile hotuba ni uendelezaji wa usanii kama kawaida. Sitashangaa kusikia hotuba zake anasoma tu kile alichoandikiwa na hajafanya proof reading au mchango wowote kwenye kile kilichoandikwa. Maana hilo la umeme kwakweli mmh! lina fanya u-question his thinking capacity.
Huyu ni mzee wa Tume, Hebu tuangalie success level ya tume zote alizowahi kupendekeza ziundwe chini ya utawala wake. Kama hamna success je nini kinatufanya tuamini hii nyingine itakayoundwa?? Hili ni changa la macho tu amkeni mliolala.
KWA KWELI NIMESOMA HIYO HOTUBA, INAKUFANYA UNACHUKIA SANA, KWANINI KIONGOZI WA NCHI ANAKUWA MUONGO HIVI!! KWANINI MTU HATAKI AKUMBUKWE KWA MAZURI? TOKA IKULU WANANCHI WAKO WAKULILIE. HOTUBA IMEJAA UONGO MTAKATIFU. ALIVYO RELAX MWENZETU UTAFIKIRI KILA KITU SORTED HUKO MASHULENI,MAHOSPITALINI, WATOTO OMBAOMBA KILA SEHEMU, MATATIZO YA UMEME, AJIRA,UBABE WA KULIPA LAKI 7 KWA DAMU ILIYOMWAGIKA KIJINGA, UFISADI NA UONGO MKUBWA WA DOWANS... YAANI ANALETA USANII WA KITOTO SANA, INASIKITISHA MNO, KWANINI KIONGOZI KAMA JK AMBAYE AMEISHI NCHI ZA NJE KWA SANA TU ASIWE NA UCHUNGU WA KULETA MAENDELEO HAPA BONGO! NI UMASIKINI KWAMBA NIMEINGIA SASA NILE!! USHAMBA SANA, SHAME ON YOU NA HOTUBA YAKO, IMEKAA KAMA UNAONGEA NA WATOTO WA CHEKECHEA, ULIVYOKUJA JUZI ULISEMA UTATULETEA PIPI, HUJAJANAZO ALAFU UNATUAMBIA TENA NITAKUJA NA PIPI KESHO..TOA UONGO WAKO HAPO NA MUOGOPE MUUMBA WAKO, UNAONGOZA NCHI WEWE ALAFU UNALETA USANII!! NI HATARI, UNAWEZA SABABISHA VITA, WATU WAMECHOSHWA NA MAISHA YA AHADI ZA UONGO, WAKO KWENYE UMASIKINI WA KUTUPWA. INGEKUWA WEWE UNGEKUBALI KUDANGANYWA KAMA KITOTO CHA CHEKECHEA?! NI BORA HATA ASINGEKUWA ANAONGEA KITU, MAANA INAKUFANYA UONE UNA AKILI KULIKO RAISI WAKO, NI KUJISHUSHA SANA. WANANCHI WANATAKA MABADILIKO SIO POROJO POROJO TU. NAJUA KAKA UTATOA HII COMMENT KWANI WEWE NI MZALENDO WA KWELI, LAKINI NASHANGAA GLOB FLANI UNATOA COMMENT HAZITOLEWI! SASA SIJUI MWENZETU ANASHEA NA JK! UJINGA TU, ATATOKA HAPO IKULU UTAACHWA NA MATATIZO YAKO NA KIBLOG CHAKO UNAENDELEA KUTOA AJALI, FOLENI NA MATATIZO YA WATANZANIA, BADALA YA KUACHA WANANCHI WATOE MACHUNGU YAO, NA HUYO JK AONE SISI SIO WAJINGA WA KUDANGANYWA KITOTO HIVYO. TUMECHOKA JAMA
Heri ya mwaka mpya Bwana Chahali!!
Hivi karibuni nilitembelea mtandaoni kwenye hii link, http://www.youtube.com/watch?v=bixs3LAFM2w&feature=fvw, Nimepata maneno mazuri sana yanamfaha mtu kama JK na viongozi wengine wa Afrika na pia yanakupongeza Juhudi zako Bwana Chahali kutoka kwa mwanamuziki wa Reggae kwa jina Sean Paul kwenye yake ya Trinity...Nanukuu" He doesn't want to look that he is talking about only dirty things happening in the third world countries but Good things never come out from the dirty". Nimemaliza kunukuu.
Kimsingi Huyu JK anatamka kwamba yeye ataunda kamati kutoka wapi.!!!! kwa hao watu wake ili hawahadae watanzania kwa kuunda kamati yenye mtazamo ule ule wa chama kimoja na tena kuwatengenezea mafisadi nafasi ya kulindwa zaidi.
Nilitegemea kama anatambua kuwa Tanzania kama nchi siyo mali yake binafsi, atamke kuwa suala hili litapelekwa kwa wananchi ili jamii ya kitanzania hifanye maamuzi ya namna gani ifanyike ili tutengeneze katiba. JK kumbuka katiba ya nchi siyo sawa na barua ya kumposa mke. Katiba ni roho na muhimili wa nchi na wananchi hivyo lazima iwe makini na kushirikisha jamii yote kwa vitendo siyo kwa maneno ya jukwaani tena maneno na ahadi bla bla...!!!!
Bwana Chahali kamwe haufanyi makosa kumkosoa huyu mbabaishaji wetu. Naona pengine ametumwa na mafisadi kuongelea ili suala la katiba, hivi sasa na kuichukua hii mada ya wapenda maendeleo. Halafu imwone kama mtu anayetaka kweli kutoa ushirikiano kwenye mabadiliko ya katiba.
Angalia kauli za mawaziri wake na mwanasheria mkuu wa serikali. Hiyo ni ishara tosha kwamba hata hii kauli yake haina ukweli.
Mimi mtazamo wangu naona JK ametamka hayo ili kupunguza msukumo uliyojitokeza kutoka kwenye jamii hivi karibuni madai ya katiba mpya na siyo kubandika viraka kwenye katiba iliyopo. Kubwa zaidi ni tishio la maandamano na matoke yake.
Kuhusu huyo mtu anayesifia kila kitu cha JK bila kuwa muwazi hii yote inatokana na njaa na ukosefu wa ubunifu mbinu halali za kupambana maisha kujipatia kipato halali, na pia kushindwa kutambua na kuelewa maana halisi binadamu huru na nchi huru.
Kifupi huyo Bwana ni mnafiki haujui kuwa JK siyo mkubwa kuliko nchi ya Tanzania.!!!!
God bless all nationalist such a Mr Chahali.
Kwa mtazamao wangu mimi nafikiri Kikwete is good at that thing of "tell people what they want to hear" Hii ni kwasababu toka alipoingia madarakani ni mtu wakusema mambo mazuri tu lakini utekelezaji zero. Sasa na hili la katiba naona amesema tu lakini hakumaanisha alilosema: ukizingatia watendaji wake wa sheria walishatoa misimamo tofauti.Kwa kifupi everything kwenye ile hotuba ni uendelezaji wa usanii kama kawaida. Sitashangaa kusikia hotuba zake anasoma tu kile alichoandikiwa na hajafanya proof reading au mchango wowote kwenye kile kilichoandikwa. Maana hilo la umeme kwakweli mmh! lina fanya u-question his thinking capacity.
ReplyDeleteHuyu ni mzee wa Tume, Hebu tuangalie success level ya tume zote alizowahi kupendekeza ziundwe chini ya utawala wake. Kama hamna success je nini kinatufanya tuamini hii nyingine itakayoundwa?? Hili ni changa la macho tu amkeni mliolala.
ReplyDeleteKWA KWELI NIMESOMA HIYO HOTUBA, INAKUFANYA UNACHUKIA SANA, KWANINI KIONGOZI WA NCHI ANAKUWA MUONGO HIVI!! KWANINI MTU HATAKI AKUMBUKWE KWA MAZURI? TOKA IKULU WANANCHI WAKO WAKULILIE. HOTUBA IMEJAA UONGO MTAKATIFU. ALIVYO RELAX MWENZETU UTAFIKIRI KILA KITU SORTED HUKO MASHULENI,MAHOSPITALINI, WATOTO OMBAOMBA KILA SEHEMU, MATATIZO YA UMEME, AJIRA,UBABE WA KULIPA LAKI 7 KWA DAMU ILIYOMWAGIKA KIJINGA, UFISADI NA UONGO MKUBWA WA DOWANS... YAANI ANALETA USANII WA KITOTO SANA, INASIKITISHA MNO, KWANINI KIONGOZI KAMA JK AMBAYE AMEISHI NCHI ZA NJE KWA SANA TU ASIWE NA UCHUNGU WA KULETA MAENDELEO HAPA BONGO! NI UMASIKINI KWAMBA NIMEINGIA SASA NILE!! USHAMBA SANA, SHAME ON YOU NA HOTUBA YAKO, IMEKAA KAMA UNAONGEA NA WATOTO WA CHEKECHEA, ULIVYOKUJA JUZI ULISEMA UTATULETEA PIPI, HUJAJANAZO ALAFU UNATUAMBIA TENA NITAKUJA NA PIPI KESHO..TOA UONGO WAKO HAPO NA MUOGOPE MUUMBA WAKO, UNAONGOZA NCHI WEWE ALAFU UNALETA USANII!! NI HATARI, UNAWEZA SABABISHA VITA, WATU WAMECHOSHWA NA MAISHA YA AHADI ZA UONGO, WAKO KWENYE UMASIKINI WA KUTUPWA. INGEKUWA WEWE UNGEKUBALI KUDANGANYWA KAMA KITOTO CHA CHEKECHEA?! NI BORA HATA ASINGEKUWA ANAONGEA KITU, MAANA INAKUFANYA UONE UNA AKILI KULIKO RAISI WAKO, NI KUJISHUSHA SANA. WANANCHI WANATAKA MABADILIKO SIO POROJO POROJO TU. NAJUA KAKA UTATOA HII COMMENT KWANI WEWE NI MZALENDO WA KWELI, LAKINI NASHANGAA GLOB FLANI UNATOA COMMENT HAZITOLEWI! SASA SIJUI MWENZETU ANASHEA NA JK! UJINGA TU, ATATOKA HAPO IKULU UTAACHWA NA MATATIZO YAKO NA KIBLOG CHAKO UNAENDELEA KUTOA AJALI, FOLENI NA MATATIZO YA WATANZANIA, BADALA YA KUACHA WANANCHI WATOE MACHUNGU YAO, NA HUYO JK AONE SISI SIO WAJINGA WA KUDANGANYWA KITOTO HIVYO. TUMECHOKA JAMA
ReplyDeleteHeri ya mwaka mpya Bwana Chahali!!
ReplyDeleteHivi karibuni nilitembelea mtandaoni kwenye hii link, http://www.youtube.com/watch?v=bixs3LAFM2w&feature=fvw, Nimepata maneno mazuri sana yanamfaha mtu kama JK na viongozi wengine wa Afrika na pia yanakupongeza Juhudi zako Bwana Chahali kutoka kwa mwanamuziki wa Reggae kwa jina Sean Paul kwenye yake ya Trinity...Nanukuu" He doesn't want to look that he is talking about only dirty things happening in the third world countries but Good things never come out from the dirty". Nimemaliza kunukuu.