Featured Posts

Friday, January 21, 2011

3 comments:

Anonymous said...

Hawa uvccm... hawajui hata namna ya kujenga hoja...wanachanganya mambo tu...umbea...hoja ...jifunzeni kuandika kwanza.

Malkiory Matiya said...

Hawa naona wanaweza kujitokeza kifua mbele na kujiita vijana wa Tanzania, subiri baba yako aondoke madarakani halafu tuanze kuwadai pesa za watanzania mlizotumia kufanyie kampeni za kifamilia. Wenyewe kwa kauliza zao hizi za kijinga ndiyo kwanza wanatakiwa kupelekwa mirembe.

NN Mhango said...

Malkiory umenena. Wanapaswa kusoma kurasa kutoka kwenye kitabu cha yaliyotokea Tunisia hivi karibuni. Kama watunisia wangemkamata rais au mkewe wanayemchukia kama sisi na Anna Mkapa na Salma wangemchoma moto kama kibaka. Hawa washenzi wanajichanganya mara Dowans isilipwe mara Sitta na Mwakyembe wakitoe. Unashindwa kuelewa hata hizo elimu wanazosema kuwa nazo kama hawakughushi kusema ukweli.
UVCCM wanajaribu ku-pre-empty ambacho kinapangwa na baba zao.
Kukataa Dowans kulipwa ni kukataa Kikwete asitawale Tanzania. Kama wao wanasema mawaziri wanaopingana wakitoe wao mbona wanapingana na chama chao na hawakitoi

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India