Featured Posts

Friday, January 28, 2011

Picha za Maandamano ya Kuun'goa Utawala wa Hosni Mubarak nchini Misri












Chanzo: The Guardian

KAMA TUNISIA WALIFANIKIWA,MISRI NAO WANAWEZA KUFANIKIWA.KAMA TUNISIA NA MISRI WAMEDIRIKI,WAANZANIA NAO WANAWEZA.PENYE NIA PANA NJIA.IT CAN BE DONE IF WE ALL PLAY OUR PARTS.

5 comments:

SIMON KITURURU said...

Mmmmmh!:-(

Malkiory Matiya said...

Kazi ipo hapa polisi wamezidiwa na waandamanaji. Madikteta hawa wanapaswa kuelewa kuwa kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Nayasubiri mapinduzi ya watanzania kuwashughulikia mafisadi.

Anonymous said...

Mmmmh! usiombee yatukute nchini kwetu, wewe umepozi huko UK unataka wenzio tutolewe macho tukiwa hai....Mwenyezi Mungu tuepushie balaa hili

Anonymous said...

Inawezekana kabisa. Egyptian Polisi wanaweza kuwa wanatunzwa vizuri kuliko hawa wakwetu. Wakwetu wataanza na jazba lakini watasurrender mapema sana. Kwanza hawana vifaa vyakutosha na zaidi ya hapo ni juzi tu wameondolewa yale marupurupu waliyopewa ya danganya toto wakati wauchaguzi. Kwahiyo ni watu wenye njaa na frustration kama wananchi wakawaida tu.Trust me kwamtindo huu Tanzania inaelekea huko. Hakuna kisichowezekana chini ya jua.

Anonymous said...

huo ndo ukweli ila twaweza?

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India