Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Kama yakifanyika mashindano ya unafiki Tanzania nadhani washindi wanaweza kuwa watu wanne. Wa kwanza atakuwa Edward Lowassa, wa pili atakuwa Jakaya Kikwete. Wa tatu watakuwa waandishi wa habari na wa mwisho Wadanganyika au Bongolalalanders.
Haya mauza uza yanayoendelea yanaweza kukupa picha kamili. Sitaki nimalize utamu.
Nimalize kwa kukushauri kijana Chahali. Wenzako wanapokutembelea nao watembelee. Quo vadis? Kwa lugha rahisi, twaenda wapi?
Mkuu Mhango,asante kwa maoni.Ukweli ni kwamba natembelea kiwanja chako kila napoingia Google Reader.Kumbuka nilishatamka hadharani kuwa u-miongoni mwa sababu zinazonifanya niendelee kublogu.Nakiri uzembe wangu katika kuacha comments lakini katika maandishi yaliyojitosheleza kama yako,nadhani sio mie pekee ninayechelea kuharibu ladha ya ulichotuandalia bali tunaishia kuafikiana nawe akilini na rohoni.Otherwise,tupo pamoja mkuu.Tunaunganishwa na imani na dhamira zetu katika hatakati tunazofanya.
Kama yakifanyika mashindano ya unafiki Tanzania nadhani washindi wanaweza kuwa watu wanne. Wa kwanza atakuwa Edward Lowassa, wa pili atakuwa Jakaya Kikwete. Wa tatu watakuwa waandishi wa habari na wa mwisho Wadanganyika au Bongolalalanders.
ReplyDeleteHaya mauza uza yanayoendelea yanaweza kukupa picha kamili. Sitaki nimalize utamu.

ReplyDelete