Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Mmmh!
Mkuu Chahali, wewe endeleza mapambano, kwani kelele za chura haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa maji. Binafsi nilishakumbana na shutuma za aina hiyo kwasababu tu ya kukemea ufisidi.
wengi wetu ,tunafikiri tunaijuwa tanzania vizuri,tunajuwa watanzania vizuri,tunajuwa matatizo ya watanzania vizuri,hata jinsi wanavyo fikiri wa tanzania tunajuwa.? nacho juwa mimi,mwananchi mtanzania,awe mkulima au mfanyakazi,anasemewa mengi tu ,na kundi la watu wachache na kugeuka ndiyo sauti ya mwanchi huyo.sasa siku atakapo amua kujisemea yeye mwenyewe kwa kinywa chake kile anacho kitaka,na kile anacho fikiria,tuta linganisha uamuzi huo nayale ambayo tumekwisha wasemea kabla ya wao kupaza sauti zao? niawazo yangu tu na kuchanganyikiwa kwangu.kaka s.
NYIE WASOMI WETU BWANA, HAYA BANA. BINAFSI NADHANI NI VIZURI KUTOFAUTISHA MACHUNGWA NA MALIMAU BADALA YA KUYACHANGANYA.
-MUBARAK AMEKUWA MADARAKANI KWA MIAKA 30, WAKATI KIKWETE NDIO AMEIINGIA KUMALIZIA NGWE YAKE YA MWISHO
-MUBARAK AMEKUWA TYRANT KWA TAKRIBANI MIAKA YOTE ALIYOTAWALA, SINA UHAKIKA KAMA HUYU WA KWETU AMEFIKIA SIFA HIYO.
-ALIKUWA AUTHORITARIAN KULINGANISHA NA RAISI WETU.
-KUTOKNA NA UROHO WA MADARAKA, MUBARAK ALIHAKIKISHA KWAMBA INSTITUIONS NYINGI KAMA VILE CIVIL SOCIETY NA UPINZANI HAVIIMARIKI, HAPA KWETU KAMA UNAVYOJUWA, UPINZANI UPO NA WA NGUVU.
BWANA CHALALI, INAWEZEKANA KWAMBA WENGI HATUKUKUBALIANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI ULIOPITA NCHINI MWETU, LAKINI KUMFANANISHA KIKWETE NA MUBARAK, AU HALIYA EGYPT NA TANZANA SIDHANI KWAMBA SAHIHI. INAWEZEKANA KWAMBA WENGINE TULIISHIA NGUMBARO, LAKINI ARICLE ZINGINE NI MORE THAN PROPAGANGA.
Naomba nipingane nawe Chahali. Wazee wenye busara tunao wengi na wamejitahidi kumuelimisha huyu jamaa asiye na masikio bila mafanikio. Wapo akina Joseph Warioba, Joseph Butiku, Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu, Cleopa Msuya, Fredrick Sumaye na wengine wengi tu.
Yeye anapenda ibada za wazee njaa wa Dar es salaam ambao wanaweza kumramba popote atakapo ilmradi awatupie sazo.
Kinachotakiwa si wazee tena bali vijana shupavu na kuingia mitaani kuhakikisha Tanzania haitawaliki. This is the only smartest move that can kick this heck out of there.
Chahali unachosema ni ukweli mtupu. Hali iliyoibusha haya ya Tunisia na ya Misri kimsingi ni ile ile tuliyo nayo hapa Bongo. Kwa bahati mbaya, wale wanaonufaika na mfumo wa kifisadi hawawezi kuliona hilo.
Naomba nimsaidie kidogo anony wa 05/02/2011 18:29. Misri imekuwa chini ya udikteta wa mtu mmoja, Mubarak. Tanzania imekuwa chini ya udikteta wa chama, CCM. Kwa hiyo hakuna anyeweza kumlaumu Rais JK kwa huo udikteta wa chama - ni mfumo ambao naye ameurithi na kama mambo yangeendelea kuwa yale yale ya 1947, basi ana haki ya kuulinda kwa nguvu zake zote. Lakini karne ya 21 inahitaji kiongozi mwenye maono na vision. Kwa madaraka aliyo nayo rais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu choka-mbaya (yaani urais-ufalme), JK anayo nafasi nzuri sana (kama angekuwa na utashi au vision) ya kuongoza ama niseme ku-initiate mchahakato wa mabadiliko kama ambayo tunasikia waTunisia na waMisri wanadai. Hilo ndilo wazalendo na wanaharakati wanalizungumzia - sio kwa sababu wanamchukia JK (JK ni muungwana na mwenye kutabasamu kwa kila mtu na kila kitu, ni mtu mzuri sana)bali wanamwona ndiye aliyeshika husukani ambao akiumudu vyema anaweza kutuepusha na hayo ya Tusinia na Misri. Je, huo utashi, vision, nk anavyo?
Mmmh!
ReplyDeleteMkuu Chahali, wewe endeleza mapambano, kwani kelele za chura haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa maji. Binafsi nilishakumbana na shutuma za aina hiyo kwasababu tu ya kukemea ufisidi.
ReplyDeletewengi wetu ,tunafikiri tunaijuwa tanzania vizuri,tunajuwa watanzania vizuri,tunajuwa matatizo ya watanzania vizuri,hata jinsi wanavyo fikiri wa tanzania tunajuwa.? nacho juwa mimi,mwananchi mtanzania,awe mkulima au mfanyakazi,anasemewa mengi tu ,na kundi la watu wachache na kugeuka ndiyo sauti ya mwanchi huyo.sasa siku atakapo amua kujisemea yeye mwenyewe kwa kinywa chake kile anacho kitaka,na kile anacho fikiria,tuta linganisha uamuzi huo nayale ambayo tumekwisha wasemea kabla ya wao kupaza sauti zao? niawazo yangu tu na kuchanganyikiwa kwangu.kaka s.
ReplyDeleteNYIE WASOMI WETU BWANA, HAYA BANA. BINAFSI NADHANI NI VIZURI KUTOFAUTISHA MACHUNGWA NA MALIMAU BADALA YA KUYACHANGANYA.
ReplyDelete-MUBARAK AMEKUWA MADARAKANI KWA MIAKA 30, WAKATI KIKWETE NDIO AMEIINGIA KUMALIZIA NGWE YAKE YA MWISHO
-MUBARAK AMEKUWA TYRANT KWA TAKRIBANI MIAKA YOTE ALIYOTAWALA, SINA UHAKIKA KAMA HUYU WA KWETU AMEFIKIA SIFA HIYO.
-ALIKUWA AUTHORITARIAN KULINGANISHA NA RAISI WETU.
-KUTOKNA NA UROHO WA MADARAKA, MUBARAK ALIHAKIKISHA KWAMBA INSTITUIONS NYINGI KAMA VILE CIVIL SOCIETY NA UPINZANI HAVIIMARIKI, HAPA KWETU KAMA UNAVYOJUWA, UPINZANI UPO NA WA NGUVU.
BWANA CHALALI, INAWEZEKANA KWAMBA WENGI HATUKUKUBALIANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI ULIOPITA NCHINI MWETU, LAKINI KUMFANANISHA KIKWETE NA MUBARAK, AU HALIYA EGYPT NA TANZANA SIDHANI KWAMBA SAHIHI. INAWEZEKANA KWAMBA WENGINE TULIISHIA NGUMBARO, LAKINI ARICLE ZINGINE NI MORE THAN PROPAGANGA.
Naomba nipingane nawe Chahali. Wazee wenye busara tunao wengi na wamejitahidi kumuelimisha huyu jamaa asiye na masikio bila mafanikio. Wapo akina Joseph Warioba, Joseph Butiku, Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu, Cleopa Msuya, Fredrick Sumaye na wengine wengi tu.
ReplyDeleteYeye anapenda ibada za wazee njaa wa Dar es salaam ambao wanaweza kumramba popote atakapo ilmradi awatupie sazo.
Kinachotakiwa si wazee tena bali vijana shupavu na kuingia mitaani kuhakikisha Tanzania haitawaliki. This is the only smartest move that can kick this heck out of there.
Chahali unachosema ni ukweli mtupu. Hali iliyoibusha haya ya Tunisia na ya Misri kimsingi ni ile ile tuliyo nayo hapa Bongo. Kwa bahati mbaya, wale wanaonufaika na mfumo wa kifisadi hawawezi kuliona hilo.
ReplyDeleteNaomba nimsaidie kidogo anony wa 05/02/2011 18:29. Misri imekuwa chini ya udikteta wa mtu mmoja, Mubarak. Tanzania imekuwa chini ya udikteta wa chama, CCM. Kwa hiyo hakuna anyeweza kumlaumu Rais JK kwa huo udikteta wa chama - ni mfumo ambao naye ameurithi na kama mambo yangeendelea kuwa yale yale ya 1947, basi ana haki ya kuulinda kwa nguvu zake zote. Lakini karne ya 21 inahitaji kiongozi mwenye maono na vision. Kwa madaraka aliyo nayo rais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu choka-mbaya (yaani urais-ufalme), JK anayo nafasi nzuri sana (kama angekuwa na utashi au vision) ya kuongoza ama niseme ku-initiate mchahakato wa mabadiliko kama ambayo tunasikia waTunisia na waMisri wanadai. Hilo ndilo wazalendo na wanaharakati wanalizungumzia - sio kwa sababu wanamchukia JK (JK ni muungwana na mwenye kutabasamu kwa kila mtu na kila kitu, ni mtu mzuri sana)bali wanamwona ndiye aliyeshika husukani ambao akiumudu vyema anaweza kutuepusha na hayo ya Tusinia na Misri. Je, huo utashi, vision, nk anavyo?