Featured Posts

Wednesday, March 02, 2011

Makala yangu Katika Jarida la Raia Mwema: "Ya Kikwete,Gongo la Mboto na Adawi"

Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida mahiri la habari na uchambuzi la Raia Mwema inazungumzia ombwe la uongozi wa Kikwete,na namna ombwe hilo linavyojidhihirisha katika namna tukio la milipuko ya mambomu huko Gongo la Mboto linavyoshughulikiwa.

 BONYEZA HAPA KUSOMA MAKALA HIYO pamoja na habari na makala nyingine zilizokwenda shule.

2 comments:

Anonymous said...

I am afraid Kikwete does not know where he came from and where is going. Sikuhizi ameishia kulalamika tu hana jipya. Watanzania hawataki mtu wakulialia wanataka solutions. Muda wakuchekacheka umeisha,If you can not stand the heat get out of the kitchen Mr. President.

Malkiory Matiya said...

Kikwete kaishiwa sera kama ilivyo kwa wenzake Makamba na Chiligati. Sera zake kwa sasa ni kueneza uongo wa udini na amani ili kuziba matundu ya uongozi wake dhaifu. Lakini watanzania si wajinga kama anavyofikiria watadanganyika na propaganda zake zisizo na tija.

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India