Featured Posts

Monday, June 20, 2011

Mtembelee RACHEL kwenye Blog yake ya MY PERSPECTIVE (http://miandmyworld.blogspot.com)



Inapendeza kuona wadau wakiungana nasi kwenye fani ya kublogu.Na mdau mwenzetu mpya katika fani hii ni mwanadada Rachel,Mtanzania mwenye makazi yake jijini London hapa Uingereza.Blogu yake iliyoanzisha mwezi huu wa Juni inafahamika kama MY PERSPECTIVE (yaani "mtazamo wake" kwa lugha ya taifa) na dhima yake kuu ni mahusiano (relationships),uwiano wa kijinsia (gender balance), maisha (life) na uongozi (leadership).

Blogu hiyo inapatikana katika anwani hii http://miandmyworld.blogspot.com/

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India