Featured Posts

Friday, January 25, 2013

Chadema 'wamtupia dongo' Nape: Watoa 'ushahidi' kuwa si mtoto wa Brigedia Nnauye (PICHA)

Image and video hosting by TinyPic

Hoja ya Chadema ni kwamba kama Nape angekuwa mtoto halali wa Marehemu Brigedia Moses Nnauye basi lazima angetajwa kwenye tangazo hilo la kumbukumbu ya kifo cha mwanasiasa huyo maarufu. Je jina la Nape lilisahaulika kimakosa?Je hoja ya Chadema ina ukweli ndani yake?Labda Nape atajitahidi kutolea ufafanuzi tashwishwi hii.

Chanzo na kwa habari kamili: Jamii Forums

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India