Featured Posts

Monday, February 25, 2013

Mawaziri Sasa Kuchekechwa...or is it "KUCHEKEWA" kama picha inavyoonyesha?


Majuzi serikali imezindua 'mpango kabambe' ambapo MAWAZIRI na watendaji wa wizara mbalimbali watakaokuwa wazembe, watachekechwa na kubaki wale ambao utendaji kazi wao ni bora, baada ya kuzinduliwa kwa mpango maalumu wa kupima utendaji wa kazi wa viongozi.

Pichani ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa ambaye licha ya matokeo mabaya ya Kitano cha nne amegoma kujiuzulu, akionekana waziwazi kuchekewa na Rasi Kikwete,makamu wake Dkt Bilal na Waziri Mkuu Pinda. Kwnaini tusidhani kuwa mpango huo kabambe ni usanii tu?

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu Februari 25, 2013


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Picha kwa hisani ya MILLARD AYO

Sunday, February 24, 2013

New Track: "Kuna Tatizo Kwani"~ King Kapita ft Godzilla (Official Release)





HIT MAKER KINGKAPITA TOKA TANZANIA TENA NA TENA KATIKA UJIO MPYA NYIMBO ALIOFANYA NA GODZILLA KUTOKA STUDIO YA DEFATALITY PALE KWA MESSEN SELEKTA 

NYIMBO INAITWA "KUNATATIZO KWANI"

IKIWA IMEBEBA LINE KALI ZA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII KAMA :
"BABA JAMBAZI MAMA CHANGUDOA MTOTO KAZALIWA KONDA OTEA NINI KITAFATIIA//"
//HII BAHATI HAIZIMWI KWA MIDOMO FORM SIX ALIPATA ZIRO NA LEO NDO BOSS WAO//
                                   "KUNATATIZO KWANI"
HAPO NI KATIKA KUWAPA MOYO WOTE WALIOPATA MATATIZO KWENYE KUTAFUTA WAKA FAIL WASIKATE TAMAA NA MAISHA BADO YANAWEZEKANA PIA KUNA LINE KAMA
       //MI MKRISTO WEWE MWISLAM HAIJALISHI DINI GANI TUDUMISHE HII AMANI//
                                    "KUNATATIZO KWANI"
 HAPO NIKIWA NAELEZEA KUHUSU MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

KINGKAPITA ANA NYIMBO HIT NYINGINE NYINGI KAMA:
1.MTOTO MLITO
2.MTOTO WA FISADI
3.SHIKAMOO PESA 
NA SASA NAOMBA MSIKILIZE 4. KUNA TATIZO KWANI IKIWA KAMA MSEMO MPYA KATIKA JAMII ETI KUNA TATIZO KWANI???

NAOMBA SUPPORT YENU NA COOMENT ZENU JUU YA HII  NYIMBO NA REQUEST NYINGI RADIO
HOLLAH KWA WANANGU NGINJA MASTER ,WAPOTEEN NA MTOTO WA VITOTO NA WOTE WANAOSUPPORT

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili Februari 24, 2013


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.


Picha kwa hisani ya MILLARD AYO

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India