Featured Posts

Monday, February 18, 2013

COINCIDENCE? Ujumbe na picha kwenye ukurasa wa Facebook wa UAMSHO siku moja kabla ya Mauaji ya Padri Mushi


I hope hao wababaishaji wetu wa Usalama wanaweza kuwa na mahala pa kuanzia uchunguzi wao. Tatizo ni kwamba wapo mahiri zaidi kutuandama akina sie tusio na madhara yoyote badala ya ku pre-empty uhalifu kama wa magaidi waliomuua Padre Evarist Mushi huko Zanzibar

1 comments:

Kakytee - Official blog said...

ndio maana mnatekwa na kuumizwa kwa kufikiria mambo bila kuchunguza , hiyo ni taasisi na ipo kwa ajili ya kukumbushana kwenye mambo ya dini na wala sio kama ambavyo umeipost hivii. Ila umejitahidi enedelea kuelimisha jamii kupitia blog , ina maana unaimani ya kuwa tz au zanzibar kuna ugaidi?
wako ndugu zenu kibao huku hatujawafanya kitu na wanatuharibisa system ya masiha ya wazanzibar na hatujawachkulia hatua yyoyotee.
big up ndugu yangu

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India