
Mzimu wa
uhuru wa Kosovo unaendelea kuisumbua Serbia na sasa serikali yake imesambaratika kutokana na tofauti za kimsimamo kati ya Waziri Mkuu,
Vojislav Kostunica mwenye mtizamo wa kitaifa (nationalist) na Rais
Boris Tadic mwenye mtizamo wa kimagharibi zaidi.Habari zaidi,soma
HAPA.PIA KUNA HABARI MOJA IMENIGUSA SANA KUHUSU BIASHARA YA "UNGA" KATIKA NCHI YA GUINEA BISSAU.UNAWEZA KUISOMA HAPA
Posted in: BALTIC POLITICS,BORIS TADIC,GUINEA BISSAU,KOSOVO,KOSTUNICA,SERBIA
Email This
BlogThis!
Share to Facebook
No comments :
Post a Comment