Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Tena hao ni wendawazimu maana wanategeme na kufikiri kwamba ufisadi utaendelea mille!!! La asha kila kitu kina mwisho wake na hasa suala haki mara nyingi inacheleshwa tu japokuwa lazima ipatikane. Bwana Chahali sishangai kwa hao wanakuandikia lugha chafu za kimaluhuni kwa sababu sifa ya mafisadi wote wote na hao watetezi wao ni wazuri sana kwenye divert topic. Na kuleta mada sisizokuwa na kichwa hata miguu. Angalia sasa umelazimika KUTUMIA muda, akili, hekima na utashi wako kuwajibu hawa wanyama(mafisadi na wapambe wao). Nikisema wanyama nina maana ya kuwa hawa mafisadi na wapambe wa wao kuwa wana akili tuu, na hiyo ni sifa ya mnyama pori ama wakufugwa. Binadamu hai na kamili anasifa hizi utashi, akili na hekima. HIvyo Bwana chahali husipoteze muda wako tena kuwajibu hawa wendawazimu
Asante sana bwana chahali ndo maana naona blog nyingi siku hizi huwa hawaweki comment sasa nimeelewa saabau.
Tena hao ni wendawazimu maana wanategeme na kufikiri kwamba ufisadi utaendelea mille!!! La asha kila kitu kina mwisho wake na hasa suala haki mara nyingi inacheleshwa tu japokuwa lazima ipatikane. Bwana Chahali sishangai kwa hao wanakuandikia lugha chafu za kimaluhuni kwa sababu sifa ya mafisadi wote wote na hao watetezi wao ni wazuri sana kwenye divert topic. Na kuleta mada sisizokuwa na kichwa hata miguu. Angalia sasa umelazimika KUTUMIA muda, akili, hekima na utashi wako kuwajibu hawa wanyama(mafisadi na wapambe wao). Nikisema wanyama nina maana ya kuwa hawa mafisadi na wapambe wa wao kuwa wana akili tuu, na hiyo ni sifa ya mnyama pori ama wakufugwa. Binadamu hai na kamili anasifa hizi utashi, akili na hekima. HIvyo Bwana chahali husipoteze muda wako tena kuwajibu hawa wendawazimu
ReplyDeleteAsante sana bwana chahali ndo maana naona blog nyingi siku hizi huwa hawaweki comment sasa nimeelewa saabau.
ReplyDelete