Featured Posts

Friday, October 22, 2010

Makala Yangu Katika Jarida la RAIA MWEMA: Tusikubali Miaka Mingine Mitano Ipotee


Kama ilivyo ada,toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema limesheheni habari moto moto na makala zilizokwenda shule.

Makala yangu katika toleo hili inazungumzia kuhusu Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumapili wiki ijayo.Nimejaribu kujenga hoja kwanini miaka mingine mitano kwa Jakaya Kikwete ni hatari kwa ustawi wa taifa letu.

Nisikupunje uhondo bali bingirika na makala hiyo kwa KUOBONYEZA HAPA.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India