Featured Posts

Wednesday, October 06, 2010

1 comments:

Anonymous said...

JK amekwenda kuwahutubia walimu mkoani Ruvuma kwamba atatekeleza na kutatua matatizo yote ya walimu...Je alikuwa wapi kitpindi cha huko kutatua hayo matatizo na kwa timu ipi ya viongozi alikuwa nao ambao wanaweza kutekeleza hizo ahadi zake...

Amesahau wakati wafanyakazi walipodai ongezo la mshahara badala ya kuongea na wafanyakazi alihamua kuwaita wazee misheni town pale Dar na kutoa hotuba ya kashfa, majivuno na kejeli kwa wafanyakazi.

Na iwapo hao walimu watampigia kura JK katika mbio zake za urais basi nitaamini kwamba walimu na wafanyakazi wote umma na sekta binafsi wengine wote wanafurahia shida na karaha wanazopata katika malipo yao mishahara kiduchu na mazingira kufanyia kazi kwa ujumla

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India