Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
KULIKONI hebu jaribu kuwashauri chadema ku-update website yao na kuweka habari zote za kila siku za mambo wanayofanya na yaliotokea kwenye kampeni. wajaribu pia kuweka hotuba za wagombea wote wa chadema wa ubunge na rais mtarajiwa Dr. Salaa. Inakuwa haina maana wanakuwa na website lakini wanaiendesha kama website ya CCM isiyokuwa na habari hata moja mpya. Waambie waweke sera zao kwenye mtandao watu waone jinsi wanavyotaka kubadilisha nchi. Vitu kama katiba kubadiolishwa waambie waonyeshe ubovu wa katiba tuliokuwanayo na waeleze kila kipengere cha kubadilisha na kwanini. Lets be seriou so we can have our country back. Waonyeshe jisni gani CCM isivyothamini maamuzi ya wananchi wanapowachagua wagombea wanaowataka lakini the so called kamati ya NEC inabadilisha majina ya washindi na kuwaweka watu wanaowataka wao kwa sababu zao. Inakuwaje NEC inafanya kazi ya mahakama? Kama kunamgombea anayesadikika kuwa amevunja sheria au kama wanavyodai kuwa baadhi ya wagombea sio raia mara tu baada ya kushinda kura za maoni si kazi ya mahakama kuamua kwa kosa lililotendeka? Inakuwaje NEC wawe nauwezo wakuondoa majina ya watu eti kwasababu inasemekana walitoa rushwa? Kwani kama kutoa rushwa ni kosa kwa sheria za nchi mahakama si ndio ilikuwa inatakiwa kutoa maamuzi badala ya NEC? Unaweza kufikiri ni too late lakini kama chadema wakitumia mtandao vizuri na TV na redio inaweza kubadilisha kabisa matokeo ya uchaguzi ujao. Wanatakiwa wachukue kila hoja ambayo inaubovu na wakuwaonyesha wananchi wa kawaida wao watafanyanini na kwajinsi gani. I have alot to offer i wish i had your direct contact.
Ahaa, sasa nimekuelewa Chahali kutokana na maelez yako hapo juu.Kumbe kwako ni chuki binafsi tu dhidi ya amani iliyodumu nchini, na utawala wa CCM, kwa hiyo kwa namna yoyote ile daktari mtarajiwa unataka kuona CCM inaangushwa madarakani na Chadema inatawala. Sijakusikia ukiitaja NCCR au CUF kwa hiyo nimekuelewa kuwa wewe ni mwana Chadema. ubarikiwe..zimebaki siku 12 tukuonyeshe surprise
Nilidhani Laiza hupo kwenye dozi ya kupna kichaa, naona umerudi huku mtandaoni ungali hajamalizia dozi ya kichaa chako. Au umeshindwa kununua dozi kamili kwa sababu kutkowa na pesa kutosha kupata dozi kamili, na kama sasa ilivyokuwa mazoea kwa watanzania wapenda CCM kama wewe kushindwa kupata dozi kamili ya matibabu na kusingizia dawa zina ubora wa chini hivyo haziponyeshi magonjwa kama huu wa ugonjwa akili unakukabili wewe laiza....Kinachotakiwa siyo chama kikibwa tunachohijitaji watanzania fair and balance political power...na pia kubwa zaidi fedha za umma zitumike kwa ajili aya umma na taratibu zilizopo na siyo familia moja ama kikundi cha watu...Wahalifu wanatakiwa nyumba yao ni jela na siyo ikulu au kuitwa wastaafu wangalia hawastaili kuitwa hivyo. Ni kweli inayoweza kushinda kwa sababu viongozi wake wanaogopa madhambi yao hivyo wapao tayyari kutumia mbinu yoyote ile iwe chafu aua nzuri ili mradi waoneyshe wao ni washindi bila kujalai athari zake katika jamamii, na hiyo ndiyo sifa watenda maovu huwa ahwajali matokeo yake. CCM ndiyo itkayoleta vita Tanzania na siyo mtu mwingine, Wengine wote wanatahadharisha jamii kuwa matendo ya CCM ni mabaya na matokeo yakee ni vita..Mifano imeonekana Ivory Coast, Siera leon, Somalia, Afrika ya kati....Kwa hiyo unazijua hizo nchi na histori ya machafuko yake utaelewa kwa nini wanaoitwa wapinzania wanakemea vitendo na mbinu chafu za CCM kushinda uchaguzi na mdhara yake kw asababu wanafahamu mzuri kuhusu haya.
Nimeipenda hayo maoni anonymous wa 19.10.2010 saa 06.04.
Ni kweli media is a powerful tool from this morden life. Chadema wake up and make the most of it from media technology point of view to highlite all dirty issues going on....
God Bless ordinary Tanzanian and purnish all ppl like Laiza and its followers CCM top leaders
Laiza huwezi kumwelewa Chahali wakati hujielewi mwenyewe. Hakuna cha chuki bali uoni wa mbali unaoonekana kuwa utata kwa upogo wako. Kutotaja CUF na NCCR au vyama vingine visivyo na mvuto siyo kuvichukia.
Mzee Mhango hapo hupo sahihi kabisa unachosema, kuuelewa na nayo suala lingine ingawa naamini huyu Laiza anawezxa kusoma kiswahili kama luigha isipokuwa kuupata ujumbe ndiyo hapo anatuonesha uwezo wake kuchanganua mambo ni kiwango cha chini sana.................
Chahali sasa naona umeamua kutochapisha maoni yangu kwa kuwa tu nimekuwa critic wa falsafa zako. Hat hivyo nikuchekeshe kidogo...Tanzania daima toleo la jana limedai ati JK ali-import watu kutoka majimbo mengine kwenda karatu kuhudhuria mkutano wake wa kampeni. Ngoja kwanza tukubaliane na ujinga wenu...halafu tuwaulize..je Dr.Slaa ali-import watu kutoka majimbo mengine kuwaleta karatu? maana population ya karatu sio kubwa kiasi kile...kama jibu ni ndiyo basi kuna ubaya gani na JK kuiga yale aliyofanya Dr.Slaa? Lakini twende kwenye facts and figures...Dr.Slaa atakayeondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili wananchi wawe na nyumba bora na za kisasa..ameshindfwa kwa miaka kumi na tano aliyooongoza jimbo la karatu, kubadili mandhari ya mji mdogo wa karatu kuwa wote wenye nyumba za kisasa zilizopangiliwa. Mbaya zaidi ameshindwa kutatua kero ya maji inayowasumbua wana karatu kwa miongo kadhaa sasa. Uhodari wake ni kuanzisha bodi ya maji inayokaa na kulipwa posho lakini maji...kaput...Charity begins.....sasa ndugu yangu kama jimbo limekushinda kwa miaka kumi na tano je nchi utaiweza kwa miaka mitano?....HATUDANGANYIKI...JUMAPILI TWENDE SOTE TUKAMPE JK NA TIMU YAKE KURA ZA NDIYO ZA KISHINDO....Mbuyu hatutafuni...we kaanga sis tunauangalia na kuupuuza....CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
KULIKONI hebu jaribu kuwashauri chadema ku-update website yao na kuweka habari zote za kila siku za mambo wanayofanya na yaliotokea kwenye kampeni. wajaribu pia kuweka hotuba za wagombea wote wa chadema wa ubunge na rais mtarajiwa Dr. Salaa. Inakuwa haina maana wanakuwa na website lakini wanaiendesha kama website ya CCM isiyokuwa na habari hata moja mpya. Waambie waweke sera zao kwenye mtandao watu waone jinsi wanavyotaka kubadilisha nchi. Vitu kama katiba kubadiolishwa waambie waonyeshe ubovu wa katiba tuliokuwanayo na waeleze kila kipengere cha kubadilisha na kwanini. Lets be seriou so we can have our country back. Waonyeshe jisni gani CCM isivyothamini maamuzi ya wananchi wanapowachagua wagombea wanaowataka lakini the so called kamati ya NEC inabadilisha majina ya washindi na kuwaweka watu wanaowataka wao kwa sababu zao. Inakuwaje NEC inafanya kazi ya mahakama? Kama kunamgombea anayesadikika kuwa amevunja sheria au kama wanavyodai kuwa baadhi ya wagombea sio raia mara tu baada ya kushinda kura za maoni si kazi ya mahakama kuamua kwa kosa lililotendeka? Inakuwaje NEC wawe nauwezo wakuondoa majina ya watu eti kwasababu inasemekana walitoa rushwa? Kwani kama kutoa rushwa ni kosa kwa sheria za nchi mahakama si ndio ilikuwa inatakiwa kutoa maamuzi badala ya NEC? Unaweza kufikiri ni too late lakini kama chadema wakitumia mtandao vizuri na TV na redio inaweza kubadilisha kabisa matokeo ya uchaguzi ujao. Wanatakiwa wachukue kila hoja ambayo inaubovu na wakuwaonyesha wananchi wa kawaida wao watafanyanini na kwajinsi gani. I have alot to offer i wish i had your direct contact.
ReplyDeleteAhaa, sasa nimekuelewa Chahali kutokana na maelez yako hapo juu.Kumbe kwako ni chuki binafsi tu dhidi ya amani iliyodumu nchini, na utawala wa CCM, kwa hiyo kwa namna yoyote ile daktari mtarajiwa unataka kuona CCM inaangushwa madarakani na Chadema inatawala. Sijakusikia ukiitaja NCCR au CUF kwa hiyo nimekuelewa kuwa wewe ni mwana Chadema. ubarikiwe..zimebaki siku 12 tukuonyeshe surprise
ReplyDeleteNilidhani Laiza hupo kwenye dozi ya kupna kichaa, naona umerudi huku mtandaoni ungali hajamalizia dozi ya kichaa chako. Au umeshindwa kununua dozi kamili kwa sababu kutkowa na pesa kutosha kupata dozi kamili, na kama sasa ilivyokuwa mazoea kwa watanzania wapenda CCM kama wewe kushindwa kupata dozi kamili ya matibabu na kusingizia dawa zina ubora wa chini hivyo haziponyeshi magonjwa kama huu wa ugonjwa akili unakukabili wewe laiza....Kinachotakiwa siyo chama kikibwa tunachohijitaji watanzania fair and balance political power...na pia kubwa zaidi fedha za umma zitumike kwa ajili aya umma na taratibu zilizopo na siyo familia moja ama kikundi cha watu...Wahalifu wanatakiwa nyumba yao ni jela na siyo ikulu au kuitwa wastaafu wangalia hawastaili kuitwa hivyo. Ni kweli inayoweza kushinda kwa sababu viongozi wake wanaogopa madhambi yao hivyo wapao tayyari kutumia mbinu yoyote ile iwe chafu aua nzuri ili mradi waoneyshe wao ni washindi bila kujalai athari zake katika jamamii, na hiyo ndiyo sifa watenda maovu huwa ahwajali matokeo yake. CCM ndiyo itkayoleta vita Tanzania na siyo mtu mwingine, Wengine wote wanatahadharisha jamii kuwa matendo ya CCM ni mabaya na matokeo yakee ni vita..Mifano imeonekana Ivory Coast, Siera leon, Somalia, Afrika ya kati....Kwa hiyo unazijua hizo nchi na histori ya machafuko yake utaelewa kwa nini wanaoitwa wapinzania wanakemea vitendo na mbinu chafu za CCM kushinda uchaguzi na mdhara yake kw asababu wanafahamu mzuri kuhusu haya.
ReplyDeleteNimeipenda hayo maoni anonymous wa 19.10.2010 saa 06.04.
ReplyDeleteNi kweli media is a powerful tool from this morden life. Chadema wake up and make the most of it from media technology point of view to highlite all dirty issues going on....
God Bless ordinary Tanzanian and purnish all ppl like Laiza and its followers CCM top leaders
Laiza huwezi kumwelewa Chahali wakati hujielewi mwenyewe. Hakuna cha chuki bali uoni wa mbali unaoonekana kuwa utata kwa upogo wako. Kutotaja CUF na NCCR au vyama vingine visivyo na mvuto siyo kuvichukia.
ReplyDeleteMzee Mhango hapo hupo sahihi kabisa unachosema, kuuelewa na nayo suala lingine ingawa naamini huyu Laiza anawezxa kusoma kiswahili kama luigha isipokuwa kuupata ujumbe ndiyo hapo anatuonesha uwezo wake kuchanganua mambo ni kiwango cha chini sana.................
ReplyDeleteChahali sasa naona umeamua kutochapisha maoni yangu kwa kuwa tu nimekuwa critic wa falsafa zako. Hat hivyo nikuchekeshe kidogo...Tanzania daima toleo la jana limedai ati JK ali-import watu kutoka majimbo mengine kwenda karatu kuhudhuria mkutano wake wa kampeni. Ngoja kwanza tukubaliane na ujinga wenu...halafu tuwaulize..je Dr.Slaa ali-import watu kutoka majimbo mengine kuwaleta karatu? maana population ya karatu sio kubwa kiasi kile...kama jibu ni ndiyo basi kuna ubaya gani na JK kuiga yale aliyofanya Dr.Slaa? Lakini twende kwenye facts and figures...Dr.Slaa atakayeondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili wananchi wawe na nyumba bora na za kisasa..ameshindfwa kwa miaka kumi na tano aliyooongoza jimbo la karatu, kubadili mandhari ya mji mdogo wa karatu kuwa wote wenye nyumba za kisasa zilizopangiliwa. Mbaya zaidi ameshindwa kutatua kero ya maji inayowasumbua wana karatu kwa miongo kadhaa sasa. Uhodari wake ni kuanzisha bodi ya maji inayokaa na kulipwa posho lakini maji...kaput...Charity begins.....sasa ndugu yangu kama jimbo limekushinda kwa miaka kumi na tano je nchi utaiweza kwa miaka mitano?....HATUDANGANYIKI...JUMAPILI TWENDE SOTE TUKAMPE JK NA TIMU YAKE KURA ZA NDIYO ZA KISHINDO....Mbuyu hatutafuni...we kaanga sis tunauangalia na kuupuuza....CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDelete