Featured Posts

Thursday, January 13, 2011

Sorry The Hardest Thing To Say: Matusi ya Jeshi la Polisi Kuhusu Mauaji ya Arusha

Baadhi ya Makamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, wakiangalia sehemu ya video iliyokuwa ikionesha jinsi Polisi walivyokuwa wakituliza ghasia huko Arusha.


Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamanda Paul Chagonja akizungumza na Waandishi wa habari katika Makao makuu ya Jeshi hilo leo



TAARIFA YA JESHI LA POLISI

2 comments:

Katembo said...

Tatizo wanajua wakisema sorry itabidi ifuate step ingine ya kuwa, wamekubali makosa wajiuzulu.

Anonymous said...

SIO SORRY, WAUWAWE FULL STOP. WAMESABABISHA MAUWAJI HAWA WATU, WAMEWAUWA WATOTO WA TANZANIA AMBAO WAMESHINDWA NA WAMECHOKA KUISHI NA AIBU. KATIKA KUDAI HAKI YETU KWA AMANI, HAWA WAUWAJI WANATUUWA!! MOTO UMEANZISHWA TANZANIA, HATUBURUZWI KIJINGA.

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India