Featured Posts

Wednesday, July 06, 2011

2 comments:

Mbele said...

Hongera. Endelea kuchanja mbuga, mkuu. Huwa napenda kusikia habari za namna hii. Wakati huu, wanablogu tumeshapata jina Bongo, kama ilivyodhihirika pale Michuzi alipopanda pipa kwenda kuhutubia mkutano wa diaspora London.

Wewe endeleza libeneke, maana mafanikio haya yanatunyanyua sote machoni mwa jamii. Kila la heri.

EVARIST said...

Asante sana kwa pongezi,Profesa.Asante zaidi kwa ushauri muhimu ulionipatia.Nashukuru sana

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India