Featured Posts

Sunday, October 30, 2011

Maalum kwa Wakazi wa UK: Usisahau Kubadili Muda Leo Alfajiri



Angalizo hili linawahusu wakazi wa Uingereza,kuwakumbusha kurekebisha muda katika saa zao itakapotimu saa nane alfajiri (kurejesha saa moja nyuma).

1 comments:

Anonymous said...

Kwanini wafanye hivyo ??

Chonde tujuze nasisi tusio jua...

Mdau

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India