Featured Posts

Sunday, January 13, 2008

KAMA UNA MUDA,CHEKI DOCUMENTARY HII KUHUSU MAISHA NDANI YA SAN QUENTIN PRISON











Muda mfupi uliopita nilikuwa naangalia documentary moja ya Louis Theroux kuhusu maisha ndani ya San Quentin State Prison,one of the toughest and most dangerous in the U.S. of A.Katika documentary hiyo iliyoonyeshwa BBC2 Louis alipewa access ya wiki mbili ndani ya jela hiyo,na kwa hakika simulizi na mandhari ya humo ni ya kutisha na kuogopesha.It's such a moving documentary that I decided to share with you,msomaji mpendwa wa blogu hii,assuming that you have 60 minutes to spare.WATCH IT HERE

Locked Up ya Akon ft Styles P inaweza kuwa mwafaka kwa post hii fupi

2 comments:

tafakuri said...

Mzee tunashukuru kwa kushare hiyo video

Naona inasema kuwa wanaoweza kudownload ni watu walioko UK tu.

Kuna uwezekano wa sie wa nchi nyingine kuweza kuiona pia, I am impressed by the documentary

Thanks

mdau

haki said...

Boss leo nimepita hapa, habari.
naomba mkuu ongeza number za post mahala hapa kwani kusoma post mbili pekee hazitoshi.
Wasalaam.

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India