The next Vice President of the United States,John McCain!?(Tena kwenye mkutano wa kampeni kwa ajili ya Joe Biden!?) Pengine sio kosa lake kwani huyo jamaa,Jim Pacillo, aliyechemsha katika kum-introduce Biden,amepata ridandansi kazini kwake hivi karibuni (pengine kichwa hakijatulia vizuri),na pia ni ,mfuasi wa Republican lakini anayewasapoti Obama na Biden ( ukibadili dini inachukua muda kutofautisha padri au shehe).
No comments :
Post a Comment