Bosi mmoja wa kampuni ya ujenzi aliamua kutumia nyenzo zake za kazi kulipiza kisasi kwa jamaa aliyempora mpenzi wake.Alipopata nafasi mwafaka ya kulipa kisasi akachukua greda/kijiko na kwenda kupondaponda gari ya "mwizi" wake (hiyo hapo pichani chini).BEWARE!
1 comment On "KABLA YA KUPORA MWANDANI WA MTU JIULIZE KAZI ANAYOFANYA"
Bosi mmoja wa kampuni ya ujenzi aliamua kutumia nyenzo zake za kazi kulipiza kisasi kwa jamaa aliyempora mpenzi wake.Alipopata nafasi mwafaka ya kulipa kisasi akachukua greda/kijiko na kwenda kupondaponda gari ya "mwizi" wake (hiyo hapo pichani chini).BEWARE! Posted in: ODD STUFFSEmail ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
duu hii kali aise haya mambo yanaweza kutawanya kila kiungo cha mwili kwa sekunde. mapenzi jambo la ajabu sana sijui inakuwaje mambo haya
ReplyDelete