Featured Posts

Friday, October 08, 2010

Makala Yangu Katika Jarida la RAIA MWEMA

Katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema nazungumzia kuhusu tuzo ya milenia,msaada tuliopewa na Waingereza baada ya kuridhishwa kwao na "nidhamu na matumizi yetu" na sifa alizomwaga Obama kuhusu "utawala bora".Cheki makala hiyo hapa bila kusahau makala na habari nyingine motomoto ndani ya jarida hilo maridhawa.

2 comments:

Mbele said...

Makala nzuri sana. Ina mantiki na lugha inayotiririka vizuri.

Kizazi kipya said...

Bwana Chahali tunashukuru kwa maelezo yakinifu yanayohitajika katika Tanzania ya Leo ili watanzania tuliowengi gizani tutambue yanayoendelea duniani kwa uwazi zaidi

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India