Basi naomba kutumia fursa hii kuomba sala zenu.Sie Wakristo tunaamini kuwa wanapojumuka wengi kufanya sala basi Mungu naye anakuwepo.Natumaini kwa sala zenu na za familia yetu Mungu atamjalia baba apone na kurejea katika hali yake ya kawaida.
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
Pole MKUU!
Na nakutakia upone haraka Mzee Philemon Chahali !
Pole sana kaka Chahali na familia yote,Mungu yu pamoja na tuko pamoja katika maombi.
Tuko pamoja kwenye maombezi ili baba yetu aweze kupona haraka.
In our prayers
Asanteni sana,Malkiory na La Princessa
tunamtakia kila la heri aweze kupona haraka
Rejea Maandiko matakatifu tunafundishwa kuwa hakuna linaloshindikana kwa Mungu hivyo wote kwa pamoja tunajongea mbele ya Mungu kwa unyenyekevu na kumwombea mzee wetu Philemon Chahali aweze kupona haraka na kuendelea na shughuli za maisha..AMEN!
Mungu mwenye nguvu, asiyeshindwa na lolote, kwa hakika atamponya mzee wetu Chahali na kumpa nguvu za kuendelea na majukumu yake. Tupo pamoja katika kumuombea mzee wetu
Pole MKUU!
ReplyDeleteNa nakutakia upone haraka Mzee Philemon Chahali !
Pole sana kaka Chahali na familia yote,Mungu yu pamoja na tuko pamoja katika maombi.
ReplyDeleteTuko pamoja kwenye maombezi ili baba yetu aweze kupona haraka.
ReplyDeleteIn our prayers
ReplyDeleteAsanteni sana,Malkiory na La Princessa
ReplyDeletetunamtakia kila la heri aweze kupona haraka
ReplyDeleteRejea Maandiko matakatifu tunafundishwa kuwa hakuna linaloshindikana kwa Mungu hivyo wote kwa pamoja tunajongea mbele ya Mungu kwa unyenyekevu na kumwombea mzee wetu Philemon Chahali aweze kupona haraka na kuendelea na shughuli za maisha..AMEN!
ReplyDeleteMungu mwenye nguvu, asiyeshindwa na lolote, kwa hakika atamponya mzee wetu Chahali na kumpa nguvu za kuendelea na majukumu yake. Tupo pamoja katika kumuombea mzee wetu
ReplyDelete