Featured Posts

Thursday, September 25, 2008

DPP ALISHATOA KIBALI MAFISADI WASHTAKIWE LAKINI...(HABARI NDANI YA GAZETI LA RAIA MWEMA)

Kwa mujibu wa habari katika toleo la wiki hii la gazeti mahiri la Raia Mwema,Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) huko nyumbani alishatoa kibali cha kuwafungulia mashataka mafisadi lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.Kwa habari hiyo pamoja na nyingine na makala motomoto GONGA HAPA kusoma gazeti hilo mwanana.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India