Featured Posts

Monday, September 22, 2008

KUMBE NDIO MAANA BAA ZINAHUSUDU MUZIKI WA KELELE!

Kwa Dar es Salaam,na pengine kwingineko pia,sijui utaenda baa gani ambayo hawajafungulia muziki kwa sauti ya juu.Kumbe kuna maelezo ya kisayansi kwanini wenye baa wanapendelea muziki full blast.BONYEZA HAPA kupata undani zaidi.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India