Featured Posts

Friday, September 12, 2008

WAZIRI MKUU THAILAND ANG'OLEWA KWA KUTOKEA KWENYE KIPINDI CHA MAPISHI

Ama kweli wenzetu wako serious na siasa zao.Kama kutokea kwenye kipindi cha televisheni cha mapishi kumemng'oa madarakani aliyekuwa Waziri Mkuu wa Thailand,Samak Sundarajev,sijui ingekuwa ishu kama ya Richmond huyu mwanasiasa angeepuka kitanzi.In a bigger picture,effectiveness ya Mahakama za Katiba ingeweza kuwa nyenzo muhimu sana kwa uwajibikaji wa viongozi wetu na maamuzi/matendo yao.Habari kamili kuhusu mkasa huu BONYEZA HAPA

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India