Featured Posts

Friday, September 19, 2008

KUBANA MATUMIZI

(Picha kwa hisani ya Tambaza.blogspot.com

Unajua unaweza kuona kama habari ya hapo chini inahusu watu ni machizi wanaotangaza hatua za kubana matumizi kwa kuzima taa za mtaani.In fact,sisi ndio tunaonekana watu wa ajabu zaidi kwa kuwa na matumizi ya kifahari ilhali uchumi wetu unategemea zaidi huruma ya  wafadhili.Hivi ni jeuri ya kutumia ovyo fedha za wafadhili au ni uzembe wa wafadhili kufuatilia fedha zao zinatumikaje?Enewei,waungwana hawa wameamua kubana matumizi kwa njia ya kuchekesha kidogo.Bonyeza HAPA kusoma habari kamili. 

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India