Featured Posts

Thursday, September 18, 2008

MICKEY MOUSE ASOMEWA FATWA AKITUHUMIWA KUWA ASKARI WA SHETANI

Ustaadh mmoja mwenye msimamo mkali huko Saudi Arabia ametoa fatwa dhidi ya kikatuni-kipanya Mickey Mouse,akidai kuwa "kipanya" huyo ni askari wa shetani.Huu sio utani,BONYEZA HAPA kusoma habari hiyo ya kuchekesha.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India