Featured Posts

Wednesday, June 24, 2009

ASKARI POLISI ADAI FIDIA BAADA YA BOSI WAKE KUMFANANISHA NA OSAMA

Kontebo wa Polisi,Tariq Dost (pichani juu) amefungua mashtaka dhidi ya mwajiri wake na Mamlaka ya Polisi ya eneo la Midlands,hapa Uingereza, kutokana na matamshi ya mwaka 2007 kwamba anafanana na gaidi nambari wani Osama bin Laden (pichani chini).Nadhani kisa ni huo "mzuzu".Je wanafanana?
CHANZO: The Daily Mail

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India