
Nimekumbana na picha hii katika tovuti ya
IPPMEDIA.Tujiulize:Taifa la kesho (kama wanavyopenda kusema wanasiasa) linaloandaliwa katika mazingira ya aina hii litatengeneza Watanzania wa aina gani?Yayumkinika kusema CHUKI,HASIRA,LAWAMA,na vitu kama hivyo ndio vinavyotawala vichwani mwa madogo hawa na vitaendelea kutawala.Je haya ndio maisha bora waliyotuahidi CCM 2005?
Posted in: CCM,ELIMU TANZANIA,ULAGHAI WA KISIASA
Email This
BlogThis!
Share to Facebook
No comments :
Post a Comment