

PICHANI NI NICK GRIFFIN,KIONGOZI WA CHAMA CHA KINAZI CHA BNP.CHAMA HICHO PAMOJA NA VINGINE VYENYE MRENGO WA KULIA KUPITA KIASI (FAR-RIGHT)
WANATARAJIWA KUFANYA VIZURI KWENYE UCHAGUZI HUO HASA KUTOKANA NA ATHARI ZA MTIKISIKO WA UCHUMI WA DUNIA MIONGONI MWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA ULAYA.
The Guardian LINA RIPOTI MAALUM KUHUSU VYAMA HIVYO
Posted in: BNP,EURO ELECTIONS 2009,POLITICAL EXTREMISM
Email This
BlogThis!
Share to Facebook
No comments :
Post a Comment