Kilombero, Ulanga wahofia njaa
na Joseph Malembeka, Kilombero
BAADHI ya
wananchi wanaoishi katika wilaya za Kilombero na Ulanga mkoani Morogoro wameiomba serikali kuingilia kati ununuzi holela wa mazao ya chakula unaofanywa na walanguzi sasa.
Ombi hilo limekuja kutokana na ongezeko kubwa la wafanyabiashara kuingia wilayani humo na kununua kwa kasi mpunga ukiwemo uliovunwa na uliopo mashambani.
Wakizungumza na Tanzania Daima juzi, John Lyapi na Selemani Kinana walisema kama serikaliikifumbia macho suala hilo kuna hatari ya wakazi wengi wa wilaya hizo kupata baa la njaa mwaka huu.
Lyapi alisema kwa sasa walanguzi hao wamevamia zaidi katika tarafa za Malinyi na Mtimbira na kuwarubuni wananchi kuwauziampunga wao kwa sh 5,000 kwa debe na huku wakiwafuatilia hadi mashambani.
Alisema kutokana na wengi wa wakulima kwa kipindi hiki wanatokea mashambani inawawia vigumu kukataa kupokea fedha hizo, kwani wengi wao huwa kama wanaanzamaisha mapya majumbani baada ya kuhamia mashambani kwa muda mrefu.
Naye Kinana mkazi wa Kilombero alisema kila kukicha bei ya mazao ya chakulaimekuwa inapanda na kushuka kutegemeana na kuongezeka kwa walanguzi hususanwakubwa.
Alisema endapo serikali itakabiliana kikamilifu na walanguzi haoitasaidia kuondoshwa chakula kingi wilayani humo na kunusuru janga la njaa.
Kwa mujibu wa wakuu wa wilaya hizo Evarist Ndikilo (Kilombero) na DkRajabu Rutengwe (Ulanga) kwa nyakati tofauti walisema tayari halmashauri zimeagizwa kuwatangazia wananchi kuacha mtindo huo.
Walisema mbali na kupiga marufuku kwa wananchi kuuza vyakula pia wanakusudia kuweka sheria itakayowasaidia, iliwaweze kujikwamua na janga la njaa kwa kutouza vyakula hivyo.
CHANZO: Tanzania Daima
Dunia haina dogo.Kuna wambeya wanaodai eti huyo "nzi" alikuwa ni skadi lililotumwa na Dick Cheney kwa Obama.Kuna wengine wanadai huyo wala hakuwa "nzi" bali roboti lilotengenezwa na majasusi wa Kimarekani kupeleka ujumbe kwa Kim Jong Ill na mikwara yake ya nyuklia.Wapo wanaomhusisha "nzi" huyo na uchaguzi wa Irani..... Alimradi burudani!
ELEKEZO: Neno "nzi" limetumika kama tafsiri isiyo rasmi ya "fly" (BAKITA mko wapi?)
Lakini binafsi natafsiri kuwa hatua hii ina ajenda mbalimbali zilizofichikaToleo la leo la gazeti la Majira lina habari inayothibitisha hypothesis hiyo.Kwa mujibu wa gazeti hilo,kauli zilizoikera Serikali hadi kufikia hatua ya kutoa "kibano" hicho ni pamoja na ile ya Kanisa Katoliki kuanzisha program maalum ya kuelimisha waumini wake kuhusu masuala mbalimbali ya demokrasiapamoja na namna ya kuchagua viongozi bora.
ikiwa ni pamoja na kuonyeshana nani mwenye nguvu zaidi: mamlaka za kidunia au za kiroho.Usisahau kauli za hivi karibuni kutoka kwa madhehebu mbalimbali ya Kikristo kwamba mafisadi wameteka nchi....na kuandaa mkakati wa kupata viongozi bora katika uchaguzi mkuu wa 2010.
Najiuliza,hivi hapa nimejisifu au nimejipongeza?
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!