![]() |
Mdogo wangu mpendwa,Sista Maria-Solana Chahali |
![]() |
Mdogo wangu mpendwa,Sista Maria-Solana Chahali |
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
![]() |
Mdogo wangu mpendwa,Sista Maria-Solana Chahali |
Na kwako pia.
Nawe pia na msalimia Sista Maria-Solana.
Asante mdau Malkiory na asante dada Yasinta (nitawasilisha salamu kwa sista).
Huu ni wakati wa kutafakari kusudi hasa la maisha yetu hapa duniani. Maisha yetu yana thamani na lengo muhimu ndiyo maana Yesu Akaja kutufia. Ni wajibu wetu basi kuwasaidia ndugu zetu wanaoteseka na kuwa kiini cha faraja na farijiko kwa wengine hapa duniani.
Ingependeza kama nini kuona kuwa mafisadi wote wanatoa zaidi ya nusu ya utajiri wao kusaidia masikini katika kipindi hiki tunapokumbuka mateso ya Mkombozi wetu. Ati hayo mabilioni yote yatawasaidia nini siku watakapokuwa kimya katika majeneza yao ya thamani?
Nakutakia Pasaka Njema kwako wewe pamoja familia yako!!!
Na kwako pia.
ReplyDeleteNawe pia na msalimia Sista Maria-Solana.
ReplyDeleteAsante mdau Malkiory na asante dada Yasinta (nitawasilisha salamu kwa sista).
ReplyDeleteHuu ni wakati wa kutafakari kusudi hasa la maisha yetu hapa duniani. Maisha yetu yana thamani na lengo muhimu ndiyo maana Yesu Akaja kutufia. Ni wajibu wetu basi kuwasaidia ndugu zetu wanaoteseka na kuwa kiini cha faraja na farijiko kwa wengine hapa duniani.
ReplyDeleteIngependeza kama nini kuona kuwa mafisadi wote wanatoa zaidi ya nusu ya utajiri wao kusaidia masikini katika kipindi hiki tunapokumbuka mateso ya Mkombozi wetu. Ati hayo mabilioni yote yatawasaidia nini siku watakapokuwa kimya katika majeneza yao ya thamani?
Nakutakia Pasaka Njema kwako wewe pamoja familia yako!!!