Featured Posts

Friday, April 15, 2011

OMBI MAALUM: Aliyechomwa Moto na Mdosi Kigamboni Anaomba Msaada wa Kisheria


Ndugu wa Bwana Lilah Hussein ambaye anadaiwa kuchomwa moto na walinzi na Meneja/Mmiliki wa Hotel ya South Beach wameomba wapatiwe mwanga wa kisheria jinsi ya kudai haki kwa ndugu yao aliyechomwa moto.

Akiongea nami mmoja wa jamaa wa Lilah amesema kuwa mpaka sasa wako gizani hawajui pakuanzia kutokana na kutojua mambo ya kisheria.

Labda kwa anayeweza kutoa msaada au muongozo wowote wa kisheria anaweza kuwasiliana na mmoja wa ndugu hao kupitia 0655362785

Kwa sasa Lilah bado amelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

2 comments:

Malkiory Matiya said...

Mkuu,inabidi utoe ilani kwa watizamaji wako, wengine wanaweza kuwa na moyo mdogo kuitizama hii picha. Binafsi nimeshindwa kabisa kuitizama.

EVARIST said...

Ni kweli mkuu hapo nilipitiwa.Kwa hakika inatisha

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India