Featured Posts

Saturday, April 02, 2011

TANZIA: Sie Tulimpenda Adam Lusekelo,Lakini Muumba Alimpenda Zaidi


Bwana Alitoa,Bwana Ametwaa.Jina lake lihimidiwe milele.
Sie tulimpenda Adam-hasa kwa makala zake zilizosheheni ufundi mkubwa "wa kuchezea lugha ya Kiingereza" huku akifikisha ujumbe mzito.Lakini sie ni nani zaidi ya Muumba?Yeye Alimpenda Adamu zaidi yetu,na sasa ameamua kumrejesha katika makazi yake ya milele.Adamu ametangulia,na sisi sote tupo njiani.

Pumziko la Milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie,astarehe kwa amani,Amina

2 comments:

SIMON KITURURU said...

R.I.P Adam!

La Princessa said...

He was a great Writer, I have read alot of Articles, I love how he could put humour to a writing. Inasikitisha Sana tukipoteza waandishi kama hawa.. Res In Peace

Post a Comment

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Hot Sonakshi Sinha, Car Price in India